Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Yaani unaingizwa kwenye list juu zen unaanza kwenda chini kupisha wapya.........
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama circle vile....
 
Nimpenzi mkubwa wa novels....Jina nalotumia limetoka kwa Mario Puzo author wa The Godfather ikiwa ni jina la moja ya novel zake (The Last Don).......napenda miziki ya latin amerika na Avatar ni ya jamaa anayeitwa Don Omar ambaye ni mmoja wa wanamuzik wa kilatino.
Kuna ngoma ya don omary inaitwa " "Danza kuduro". Napenda kuipiga wakati nadrive afu unakuta niko omotola wangu pembeni hapo ...

Unaanza hivi:

La mano arriba, cintura sola
De media vuelta, danza kuduro
No tes canses ahora

Que esto solo empieza
Mueve la cabeza
Danza kuduro
La mano arriba.....x 2 ........
 
Back
Top Bottom