Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Tengenezeni bond walau ya Vander wo forces kama mkishindwa covalent au ionic
Hahahaha....... Sawa Bazazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengenezeni bond walau ya Vander wo forces kama mkishindwa covalent au ionic
Yaani unaingizwa kwenye list juu zen unaanza kwenda chini kupisha wapya.........Hapo ndo Makapuku wanapopunguza nguvu ya kuendelea kuwa imara.
Kama circle vile....Yaani unaingizwa kwenye list juu zen unaanza kwenda chini kupisha wapya.........
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hiyo "b" inasimama badala ya nini
cute butt?..Cute boobs??..Cute body?? ama nn
Muulizeni sumbai. Kama ni boobsj
Kuna ngoma ya don omary inaitwa " "Danza kuduro". Napenda kuipiga wakati nadrive afu unakuta niko omotola wangu pembeni hapo ...Nimpenzi mkubwa wa novels....Jina nalotumia limetoka kwa Mario Puzo author wa The Godfather ikiwa ni jina la moja ya novel zake (The Last Don).......napenda miziki ya latin amerika na Avatar ni ya jamaa anayeitwa Don Omar ambaye ni mmoja wa wanamuzik wa kilatino.
Kwahilo namshukuru Maulana atleast katenda miujizaUtotoni wote tulikuwa wabaya asee!!! Ila afadhali huku ukubwani kidogo alhamdu😀😀😀
Yangu mimi imetokana na mapenzi yangu kwa animation movies.
Kila nikiunganisha dot nakua confused tuTengenezeni bond walau ya Vander wo forces kama mkishindwa covalent au ionic
Nini tatizoKila nikiunganisha dot nakua confused tu
MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.Naongezea
Kwanini iwe MziziMkavu na si jina lingine?
Kujoin majina manneNini tatizo
Kujoin majina manne
Umesoma kemia?Kujoin majina manne
HapanaUmesoma kemia?
Umesoma kemia?Kujoin majina manne
Umesoma kemia?