Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?


Mila na desturi zikikataza kitu hakiwezi kuwa kawaida tena...
Ila nakubali kwa baadhi ya makabila hii inachukuliwa powa...na kweli ni kawaida kama unavyosema...
 
Da Pretty kwa mtoto wa kiume tukubali tukatae ni tofauti kabisa...
Thamani yake haishuki kwa kuzaa kabla ya ndoa...
wahanga ni watoto wa kike...
Hapo hakuna usawa aisee...
Mimi nina watoto wa kiume tu...wakizaa huko watajiju...
Na hata sioni shida kulea mjukuu..
Lakini mjukuu wa mtoto wa kike ni tofauti...
Nimelelewa kwenye familia strict siwezi futa aikilini kuwa ni aibu mtoto wa kike kuzalia home...

Wangekuwa wa kike nadhani ningekuwa na kazi ya ziada ya kuwapa somo la mimba za nje ya ndoa au za utotoni...

 
Jamani comment ziwe fupi mwaka mpya ukute tumeifunga mada
 
Tafsiri yake ni mmomonyoko wa maadili uliochangiwa kwa kiasi kikubwa na utandawazi, watoto wa siku hizi wanajua mambo mengi na makubwa yanayoendelea duniani ambayo mengine hayaendani na umri wao. Na kibaya zaidi wazazi, jamii na hata taifa kwa ujumla hawajui/wanapuuza bila kujali kama mambo hayo yanaathari kwa mtoto na matokeo yake mojawapo ndo hilo la mtoto kubeba mimba. Suala la msingi kuna baadhi ya mambo ambayo hayaendani na maadili yetu yangefungiwayasiwepo kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya huduma zingekuwa zinatolewa kwa kuzingalia umri na kuwekwe vituo maalumu vya kufanya usajili na sio mtu kuamua tu kujiunga mwenyewe na kugushi nyaraka. Mfano mzuri fb watu wanajisajili kiholela tu hadi watoto wa shule za msingi wapo fb siku hizi! Na ukitaka kuingia kwenye website za ngono wala hawaulizi suala la umri wenyewe wanasubiri tu udownload wapate pesa je kwa kijana ambaye yupo kwenye kipindi cha foolish age hajaenda kujarib na yeye! So utandawazi unasababisha matatizo mengi likiwemo hilo
 
Msichana kama msichana swala lakujilinda nakujchnga nilako mwenyewe haswa unapofkisha umri wa miaka 18 unatakiwa ujitambue nakujiona wathamani hakuna mwanaume atakuchezea jitambue msichana.
 
Singo mazaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…