Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote vibaya...Hiv kip bora. Kuzaa au kutoa but ili uendelee kuonekana pure n inocent??
Vyote vibaya...
Kizuri ni kuzaa mwenye ndoa...
Mimi ni mwanamke ila wanawake wenzangu wengine sio...wana apply PMU (Pata Mimba Uolewe).....wanategesha kusudI...matokeo yake ndio hayo...unabwagwaa anaenda olewa mwingine...mwanaume hajakwambia umzalie...kwanini usiwe makini na siku zako...au ndo utamu unakolea..hell no....wanaume sometym tunawaona wabaya vingine twajitakia..kwanini akubali sex bila condom
Dada umenena. Kwa kweli huwa ata me nashangaa inakuaje mtu ukubali kunanalii while ukiwa kwenye danger days? Kwa kweli labda ni utamu kukolewa. Worse enough unakuta mwanaume huishi nae, why kukipeleka siku za hatari???? Heee.:what:...yan huwa sipatag majibu napojiuliza hili???
Vyote vibaya...
Kizuri ni kuzaa mwenye ndoa...
Hivi kwanini tunapoingelea maadili kwenye suala la ngono wanaotajwa ni wanawake tu?
Najiuliza hivi wanaume wangekua ndio wabeba ujauzito kusingekua na kutoa mimba wala kuzalia nyumbani?
Hata wazazi wenye watoto wa kiume pia wanatakiwa kuwapa watoto wao elimu ya afya ya uzazi ili kuzuia hizi mimba zisizotarajiwa.
Na suala lingine ni bora uzae kuliko kutoa maana binti huchoka zaidi anapotoa na hii ni kuua fikiria mama yako angekuua ingekuaje?
Hivi kwanini tunapoingelea maadili kwenye suala la ngono wanaotajwa ni wanawake tu?
Najiuliza hivi wanaume wangekua ndio wabeba ujauzito kusingekua na kutoa mimba wala kuzalia nyumbani?
Hata wazazi wenye watoto wa kiume pia wanatakiwa kuwapa watoto wao elimu ya afya ya uzazi ili kuzuia hizi mimba zisizotarajiwa.
kwahyo kinachokukera ww ni kuwa kwann tunawasema wanawake si ndiyo?
Bado mawazo yako yanabase kwenye usawa tu. Lakn huangalii katk hili janga nani muathirika zaidi,.
Na huangalii ni nani mwenye kushuka thaman pindi hili janga la mimba linapotokea.
Huo usawa uliojengeka kichwan mwako hutasaidia lolote hasa kwa tatizo kama hili la mimba bali ww mwanamke ndiyo unatakiwa ujilinde , huwez kusema mtu mwingne aje ailinde mali yako wakat ww mwenyew mwenye mali hujali unaigawa tu.
Usidhani kila mwanamke yupo kwenye hatari ya hilo janga.
Sio wote humu ni mabinti wadogo. Nilishavuka huko kitambo, wewe upo upande wa vijana wadogo wakati mimi nipo upande wa wazazi/ walezi.
Siwezi kunyamaza kwa mtoto wangu wa kiume eti kwa vile yeye hashuki thamani au haimuathiri.
Na lazima ujue kua hatuwezi kufanana mtazamo, kwangu hata mtoto wa kiume kuwa baba kwenye umri mdogo itanigusa.
Usilazimishe niwe na mtazamo wako wala kupinga mawazo yangu haibadilishi kitu.