Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?

Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?

Hahahaaaa sista nimeshasema imenikata jaman ukiongelea habar za mpesa nachanganyikiwa

sikuwakilishi .. hayo ni mabo ya kuaibishana natoa salamu zako hata kitochi siwezi kuwapa .. aisee manka we niseme ukweli tu sikuwakilishi
 
hili suala ni suala mtambuko, kwa maana linagusa pande nyingi, kuanzia kwa wazazi wa binti, wa mvulana na vijana wenyewe, hivi lakini unajua kuwa kuna wengine huwa wanapnaga kuzaa kabisa...?
suluhisho lake ni elimu itolewe na wazazi hasa wa kike na wakiume, kwa maana kila upande uchukue jukumu lake....
 
Back
Top Bottom