Nini tafsiri ya ndoto hii ?

omba sana my baby,
weka imani kwa Mungu wako,
then kataa ndoto zote kwa jina la Yesu Kristo,
Mungu hashindwi hata siku moja.
ameen mamamdogo
MUNGU ni mkuu naamini hata kwa hili atanishindia,
 
mungu hampi mtu ndoto inayomnnyima amani hiyo ni kazi ya mapepo na maagenti wao.omba kabla hujalala na amka tena usiku uombe.na kukemea kwa jina la yesu
 

1. Je hivi karibuni umeangalia movie yoyote ile ambayo watu wanaogelea?
2. Je hivi karibuni umetembelea bichi au sehemu yoyote ambapo uliwaona watu wanaogelea?
3. Je kuna mtu yeyote amekusimulia mambo ya kuogelea
4. unasema unaanza kwa kuogopa, je baada ya kuogelea unafurahia hiyo hali?
5. Ukiamka kutoka ndotoni, nini unafanya, je unakwenda kukojoa? yaani unakuwa umebanwa mkojo?
 
mkuu kiukweli mimi napenda sana kuogelea but sijaogelea siku za karibuni wala sijaenda beach wala hakuna mtu nimepiga nae story hizo
kuhusu swali no 4 mimi huwa naogopa huwa sifurahii cause yale maji ni mengi
no tano sijiskii mkojo wala nini nakuwa tu ok
 

Mimi si mtabiri wa ndoto, lakini niseme ninachofikiri, kwanza nikubaliane na mbota kuhusu maji kuwa symbol of changes kwa kuwa yanatumika kutakasa, lakini pia yanatumika kwa mambo mengine mengi ikiwemo kuoshea maiti, sihitaji kukuogopesha ninachofikiri ni kuwa ndoto hii haikuhusu wewe kwa kuwa inaonyesha ni mbaya, kifupi ni kuwa kutakuwa na mafuriko au kuzama kwa chombo cha maji kitakachohisha ndugu au jamaa unayemfahamu sana, lakini kwenye maelezo yako hakuna indication ya kifo.

Ushauri wangu, uwe na amani-Think positive, sali kwa kuwa mawazo yako ndiyo yatakayoelekeza nini kitatokea. Pole sana.

Nasisitiza mimi si mtabiri wa ndoto, na haya ni mawazo yangu tu.
 
Last edited by a moderator:
Ujue bwawa la mtera litajaa maji mda si mrefu tuondokane na kero ya kukatika umeme.
 
aisee but mi siamini katika ndoto najua tu ni pepo mbaya na atashindwa kwa jina la YESU
 
expain more tafadhari
Yani nakuwa kama nakimbia kwenda mahali fulani ( hata sipajui) au wakati mwingine nakuwa nakimbia watu wabaya wanataka kunidhuru..Najikuta badala ya kukimbia au kutembea kawaida najiona ninaenda juu kwa juu na inakuwa very fast..kama ndege zinavoenda .. na wakati mwingine najikuta nikitaka kutua naweza kupitiliza pale napotaka kusimama kwa sababu ya spidi kali.. Huwa naona nyumba na miti kwa chini.. (Zaidi ya hapo sijui nielezeje)
 
Maji ni alama ya uhai. Ndoto yako ni nzuri tu wala usiwe na wasiwasi. Ingekuwa mbaya kama ungeota ukiwa jangwani au kwenye mto usio na maji. Kuota unaogelea juu ya maji ni alama ya kuwa bado una maisha marefu mbele yako tena yenye neema tele. fungua moyo wako na macho yako uone jinsi neema hizo zitakavyokuwa zikikumiminikia. Don't take anything for granted. Kila kinachokutokea jaribu kukitazama kwa jicho la neema hizo zilizojificha kwenye zulia la ndoto. Kila la heri.
 
pole sana Smile, hata mie usiku wa kuamkia jana jumapili niliota nipo baharini tena wakati maji yanakupwa na kujaa thou sijawahi kushuhudia hiko kitendo. wakati maji yanakupwa nafurahi naenda kucheza kwenye mchanga yakijaa nayakimbia, mara naogelea lakini pia sizami. nimeshindwa kuelewa mpaka saivi. Chimbuvu na hapa je maana yake ni nini? MziziMkavu busara zako zahitajika tafadhali. . .
 
Last edited by a moderator:
duuh ulikuwa upande gani ? hukuniona ? maana na mimi nilikuwa pande hizo
 
Duh! ndoto moja wiki nzima! pole sana Smile, ondoa shaka kwa kuwa unamwamini Mungu..zaidi sana soma neno kila siku kabla ya kulala na kusali.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…