Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
ameen mamamdogoomba sana my baby,
weka imani kwa Mungu wako,
then kataa ndoto zote kwa jina la Yesu Kristo,
Mungu hashindwi hata siku moja.
MUNGU ni mkuu naamini hata kwa hili atanishindia,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ameen mamamdogoomba sana my baby,
weka imani kwa Mungu wako,
then kataa ndoto zote kwa jina la Yesu Kristo,
Mungu hashindwi hata siku moja.
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????
mkuu kiukweli mimi napenda sana kuogelea but sijaogelea siku za karibuni wala sijaenda beach wala hakuna mtu nimepiga nae story hizo1. Je hivi karibuni umeangalia movie yoyote ile ambayo watu wanaogelea?
2. Je hivi karibuni umetembelea bichi au sehemu yoyote ambapo uliwaona watu wanaogelea?
3. Je kuna mtu yeyote amekusimulia mambo ya kuogelea
4. unasema unaanza kwa kuogopa, je baada ya kuogelea unafurahia hiyo hali?
5. Ukiamka kutoka ndotoni, nini unafanya, je unakwenda kukojoa? yaani unakuwa umebanwa mkojo?
mkuu kiukweli mimi napenda sana kuogelea but sijaogelea siku za karibuni wala sijaenda beach wala hakuna mtu nimepiga nae story hizo
kuhusu swali no 4 mimi huwa naogopa huwa sifurahii cause yale maji ni mengi
no tano sijiskii mkojo wala nini nakuwa tu ok
Haya wataalamu wa ndoto..Sasa ukiota unapaa kama ndege hiyo nayo ni nini??
aisee but mi siamini katika ndoto najua tu ni pepo mbaya na atashindwa kwa jina la YESUMimi si mtabiri wa ndoto, lakini niseme ninachofikiri, kwanza nikubaliane na mbota kuhusu maji kuwa symbol of changes kwa kuwa yanatumika kutakasa, lakini pia yanatumika kwa mambo mengine mengi ikiwemo kuoshea maiti, sihitaji kukuogopesha ninachofikiri ni kuwa ndoto hii haikuhusu wewe kwa kuwa inaonyesha ni mbaya, kifupi ni kuwa kutakuwa na mafuriko au kuzama kwa chombo cha maji kitakachohisha ndugu au jamaa unayemfahamu sana, lakini kwenye maelezo yako hakuna indication ya kifo.
Ushauri wangu, uwe na amani-Think positive, sali kwa kuwa mawazo yako ndiyo yatakayoelekeza nini kitatokea. Pole sana.
Nasisitiza mimi si mtabiri wa ndoto, na haya ni mawazo yangu tu.
Yani nakuwa kama nakimbia kwenda mahali fulani ( hata sipajui) au wakati mwingine nakuwa nakimbia watu wabaya wanataka kunidhuru..Najikuta badala ya kukimbia au kutembea kawaida najiona ninaenda juu kwa juu na inakuwa very fast..kama ndege zinavoenda .. na wakati mwingine najikuta nikitaka kutua naweza kupitiliza pale napotaka kusimama kwa sababu ya spidi kali.. Huwa naona nyumba na miti kwa chini.. (Zaidi ya hapo sijui nielezeje)expain more tafadhari
duuh ulikuwa upande gani ? hukuniona ? maana na mimi nilikuwa pande hizopole sana Smile, hata mie usiku wa kuamkia jana jumapili niliota nipo baharini tena wakati maji yanakupwa na kujaa thou sijawahi kushuhudia hiko kitendo. wakati maji yanakupwa nafurahi naenda kucheza kwenye mchanga yakijaa nayakimbia, mara naogelea lakini pia sizami. nimeshindwa kuelewa mpaka saivi. Chimbuvu na hapa je maana yake ni nini? MziziMkavu busara zako zahitajika tafadhali. . .
ameen dada hebu nipe msitari wa leo?
thax ngoja nisomeJoshua 1:5-9 na Psalm 35...si una Bible?
duuh ulikuwa upande gani ? hukuniona ? maana na mimi nilikuwa pande hizo
ahahaaa ulikuwa umevaaje? mi nilikuwa uchime hata sikukuona, ila nakumbuka ni upande ambao ni karibu na mabweni ya wanafunzi ila sikujua ni wa shule gani?