Nini tafsiri ya ndoto hii ?

GAZETI mie, niliota nipo na wasichana warembo wengi tunapiga story. Maana yake nini hii ndoto.
 
Last edited by a moderator:

Nilidhani baada ya shehe HAYAHAYA kufa basi Jk atakuwa hatarini kwa kukosa ulinzi shirikina mara leo ghafla kijukuu cha mtume umeibuka. Nitakuja ofisini unifundishe namna ya kuyatuma majini BOT aisee
 
Na ndoto zote na zije, ila usijeomba uje uote unataga mayai !
Ukijaamka habari zake ndefu!
Hutomhadithia mtu! Itabaki kua siriyo tu.
 
Najua hapa nitapata watu wenye uelewa wa hili linalonisibu jamani. Nina tatizo la kuota ndoto za vifo tu.

Sinaga ndoto nyingine zaidi ya nimeuliwa, kuvamiwa, kulipuliwa au hata kumuotea mtu mabaya na si mtu wa mbali unakuta naota either mama dada au mtoto wangu amekufa.

Mara nyingine hata nikiwa macho natafuta usingizi siishi kuwaza mambo yafananayo na hayo.
Wanaojua tatizo wanitonye tafadhali au zina maana gani maana zinanitesa ajabu!
 
Unajishughulisha na nini!?, kuna tukio gani lililotokea hivi karibuni unalolikumbuka lililokukosesha amani au kukutia woga!?, Na umri wako je!? nijibu kwanza hayo..
 
pole ndugu, kama ni mkristo jitahidi kujiweka mbele za Mungu kwa maombi uamkapo na ulalapo na pia pitia neno itakusaidia kuvunja hizo roho za giza zinazokusumbua.Au kama kuna tukio la kutisha uliliona karibun au uliaga maiti hiyo kwa asiye mzoefu inamsumbua.ila usiwaze sana tumia muda mwingi kuwatch movie au kusoma magazine itakusaidia.
 
Mkuu mimi sio mtabiri lakini huwa nasoma sana tafsiri za ndoto.

Mara nyingi ukiota ndoto kama hiyo na ikawa inajirudia ujue kuwa mtu wa karibu yako ataugua sana lakini hatafariki.

Na wakati mwingine ndoto ni mawazo yako au mambo uliyoyaona mchana, inawezekana kwa mfano ulikuwa m,pirani mkafungwa usiku ukaota ndoto ya mambo ya mpira hilo ujue ni marudio tu ya mambo uliyoyaona mchana.

Kama ndoto zingekuwa kweli basi wengi tungekuwa matajiri
 
naona huwa unawaza sana mambo ya vifo na kufa ndo maana unayaota
 
Je umepoteza ndugu au rafiki wangapi mwaka huu?

Ndoto ni ishara kamilifu, au sauti ya onyo la Mungu juu ya mambo mabaya ambayo tayari yameshafanyika katika ulimwengu wa Roho, na matokeo yake yatajitokeza katika ulimwengu wa mwili, muda na wakati wabaya wako walivyopanga. Unatakiwa uvunje na kusambartisha ndoto hizi kabla muda huo haujafika.
 
kuna mabadiliko makubwa (U-turn) yanakuja katika maisha yako. .... new beginning... unaweza kukaa miaka hata miwili ndo ukashangaa jambo fulani linatokea. unaweza kuja fanya au kukumbwa na jambo litakalo badilisha mwelekeo wa maisha yako kabisa. vitu vya kuangalia sana ni kwenye ndoa, imani,kutapeliwa kitu kikubwa mathalani deal kubwa kama nyumba, career change na kadhalika na kadhalika. kifo kama kifo ndoto zake haziji kama kifo na sometime inakuja kama sherehe au harusi au kula chakula kama nyama nyingi. its so spiritual cha msingi funga/soma zaburi walau sura kumi na tano hadi ishirini kwa siku na uwe unafanya maombi ya usiku wa manane after a while itajifunua enyewe sawasawa.
 

Kwan ww hukuwai kuwaza kupiga box?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…