Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
ukiota umeumwa na nyoka inamaanisha nini
Inamaanisha unatakiwa ujivue gamba na kuvaa gwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiota umeumwa na nyoka inamaanisha nini
Kama uliota unakimbizwa na mnyama yeyote yule halafu miguu imefunga
huwezi kukimbia. Hiyo ina maana kuwa siku ya leo mbaya wako atasutwa
na kuumbuliwa vibaya kwa tabia yake ya umbeya.
Kwa wanaume inamaanisha kuwa kama kutakuwa na maandamano yoyote
yawe ya vurugu au amani nenda usiogope kwani kama wataibuka
manjagu wewe ndio utaongoza kwa kufyatuka mbio hivyo hutakamatwa.
Kama umeota unafanya mapenzi basi jua kwamba hiyo ni dalili ya kuharibikiwa
mambo yako. Haraka fika ofisini kwangu Magomeni.
Ukiota unapaa angani hiyo ni dalili ya kuwa mambo unayoyafikiria hayawezekani.
Haya leteni ndoto zenu nitafsiri kama ni vigumu nione ofisini magomeni kagera!
Aah,we noahism utakuwa na tatizo ambalo ili liondoke inabidi ukaogelee ziwa Tanganyika!
Aah,we noahism utakuwa na tatizo ambalo ili liondoke inabidi ukaogelee ziwa Tanganyika!
mh! ziwa Tanganyika? Nikioga nitaacha kuwa ota kwani?
Aah,mamba wa ziwa Tanganyika watakuondoa nuksi yote!
Na ndoto zote na zije, ila usijeomba uje uote unataga mayai !
Ukijaamka habari zake ndefu!
Hutomhadithia mtu! Itabaki kua siriyo tu.
Mkuu mimi sio mtabiri lakini huwa nasoma sana tafsiri za ndoto.
Mara nyingi ukiota ndoto kama hiyo na ikawa inajirudia ujue kuwa mtu wa karibu yako ataugua sana lakini hatafariki.
Na wakati mwingine ndoto ni mawazo yako au mambo uliyoyaona mchana, inawezekana kwa mfano ulikuwa m,pirani mkafungwa usiku ukaota ndoto ya mambo ya mpira hilo ujue ni marudio tu ya mambo uliyoyaona mchana.
Kama ndoto zingekuwa kweli basi wengi tungekuwa matajiri