Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Stop being superstitious, Ndoto haina relation yoyote ile na whatever is happening to the real world, sometimes Deja Vu watu wanadhani waliota afu kimetokea au kina maana flani.. Just happens as coincidence n mind play...
 

ngoja nikwambie ndugu sidhani kama nina wivu kiasi hicho but nadhani najua kupenda,sijawahi kumfikiria mabaya hata mara zote nilizo hisi kama anakwenda ndivyo sivyo and i knowto trust hawa viumbe(u can call my weakness) wala sikuwa nafikra mbaya au nzuri juu yake kwa siku ya jana ingekuwa hivyo ninge unganisha hapa na kufanya conclusion bila kuileta hii issue jamvini but this thing it come automatically
 

maneno yako yana gusa kwanamna moja au nyingine ila sitakuwatayari kujieleza wa aina gani lakini kila mstari katika sentensi zako unagusa na umejaa maana..Asante
 
Ndoto inaweza chochewa na mawazo yaliyolala ndani ya mind ya muotaji(mambo uliyokua ukiyafikiria awali yanakua projected kwa njia ya njozi)
Kwa upande wa Ilimu Dunia tunaamini kuwa mtu anapolala nafsi inatoka kwenda ku-recharge na kuangalia mambo flan flan ambayo yanamgusa muotaji moja kwa moja.(kwa mtu wa kawaida ukweli wa ndoto husika unategemea na muda ulioota)
 
Samahani nikurejeshe nyuma kidogo,,kwa nini ulihisi anaku cheat kwa jamaa?uliona viashiria gani kwake ama kwa jamaa tukitoa habari ya ndoto?
 

mkuu nihivi kati yako na mkeo kunatatizo la kimapepo sasa. husikeni katka imani mliyo nayo. mimi ninao ushuuda, kwa ufupi mkewangu alifaliki mambo haya haya yahusuyo kwamba kesho afariki aliota akasema mmewangu nimechoka kuishi nawe. sasabu nilipomuuliza akasema niota tu. hivyo, tukalala asubuhi 12:44.nikamuuga vizuri niende kazini akanibusu. nikaondoka. sasa 4 napigiwa cm naambiwa mkeo amepoteza faham tunaenda hosp baada yamda alifariki, huni hiyo ndoto yakuachana ilikamilika. naalikuwa ananipenda mno hata mm pia. lakinipia alikuwa mzuri wa umbo, sura na tabia. ushauli ikiwezena kama hautajali waone wachungaji wanao mwabudu MUNGU wakweli, mm sinamke mpaka sana sijata pata hatamwenye kumfananisha. mkuu usipuuze pole
 
Labda nikuulize tu mkuu,mpaka sasa unajisikiaje juu ya mwenza wako?Ni Mungu tu aliyebaki ndiye mwenye uwezo wa kutegua kitendawili chako hivyo nakushauri umuelekee yeye na atakupa majibu.
 
Asante sana tena sana,n
 
Labda nikuulize tu mkuu,mpaka sasa unajisikiaje juu ya mwenza wako?Ni Mungu tu aliyebaki ndiye mwenye uwezo wa kutegua kitendawili chako hivyo nakushauri umuelekee yeye na atakupa majibu.

bado nampenda sana tu kama tulivyoanza uhusiano miaka kadhaa nyuma,lakini kuna mambo ya kustahajabisha ymaenitokea jana baada ya kuleta uzi..ntajaribu kuuleta hapa tufanye tathimin nyingine
 
bado nampenda sana tu kama tulivyoanza uhusiano miaka kadhaa nyuma,lakini kuna mambo ya kustahajabisha ymaenitokea jana baada ya kuleta uzi..ntajaribu kuuleta hapa tufanye tathimin nyingine
Nitaendelea kuwemo humu ili nione utakachokileta mkuu
 
ndoto muda mwingine huwa zina ukweli. spritual commnication, ndoto zangu mi huwa najua kama ina ukweli au la kutoka na stuation ya ndoto kwa uzoefu wangu. itabidi ufuate uzoefu wako wewe jaribu kufuata history ya ndoto zako huko nyuma zillishawahi kuwa kweli, au ni kutokana na mawazo yako tu tafakari. ikiwezekana jaribu kufanya mawacliano na mkeo utapata ushahidi zaidi jaribu kumuuliza maswali ya kizushi kwenye maongezi utaweza bain
 
kaka fanya mpango ukae pamoja na familia yako maana umbali na ni tatizo kwenye mahusiano,hebu tafakari hivi wewe wakati ukiwa huko mbali hujawahi kumchit!
 
Nimeota ndoto ndoto niko kwenye kikao na ma frimasons.wakidai nitapoteza maisha kwa kuwa nawasaliti ,na wakisema nimtoe mmoja kati ya watoto nilionao na wakanionyesha picha yote ya maisha niliyopitia na kudai kama sitokuwa upande wao wataniendelea kunitesa kwa ugumu wa maisha,nini hii kwa mnaojua tafsiri ya ndoto?msaada tafadhari?
 
kwani jana ulikunywa viroba vingapi, hujasikia kuwa viroba vya siku hizi havina ubora?
 
Unaonywa kwamba licha ya ya shida au ufukara ulionao usije tafuta hela kwa njia ya kafara kwa kudanganywa na watu au kwa tamaa.
 
hapo huna haja ya kuhitaji msaada , we jiulize umewahi kuota ndoto ngapi tangu uzaliwe na zilikua na uhaalisia % ngapi then chukua hatua..
 
Lol, tafsiri ya hiyo ndoto ni viroba na viporo vya ugali sio vizuri kwa akili yako
 
je kabla hujalal hukusoma makala yoyote inahusu hao jamaa freemason? au hukuangalia filam inayohusu hao jamaa? au hukuwa na fikra hizo hivi karibuni? tatu ndoto huwa sometimes zinatengenezwa na wachawi na utaota kama anavotaka yeye hasa ukiwa hufanyi ibada kabisaa.....mwisho kabisa hiyo njozi ipuuze, achana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…