Gosheni
Senior Member
- Oct 28, 2008
- 199
- 138
daraja maana yake ni Yesu, mlima ni sehemu salama mahali pa kukimbilia. Kumbuka Lutu aliambiwa aende mlimani ili kusalimisha Kaisha yake, Yesu alisurubishwa mlimani, pia watu huwa wanajenga kwenye mlima sio bondeni. Hivyo mlimani ni sehemu salama.Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal
Maana ya ndoto yako, maisha yako hayajampwndweza Mungu, ndio sababu haufanyi hatua inayoeleweka katika maisha yako. Neno linasema njia ni nyembamba iyendayo uzimani.
Chakufanya, amua kuokoka kwa kumaaniaha, uyakabidhi maisha yako kwa YESU.