Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Roho i radhi ila mwili ni dhaifu.
Una tabia ya kuikana nafsi yako kutosimamia unacho amini na unapenda kwenda na mkumbo ili usionekane wa ajabu.
Matokeo yake nafsi inapiga kelele ili iokolewe kutoka kwenye huo mwili ulioifunga na kuikataza kuji express au kuwa creative na kulazimika kuishi predictable na mediocre life ili kufurahisha umma na hata inapopiga kelele sauti haiwezi kutoka maana mdomo uko kwenye mwili ambao unau control wewe Mr Simple life.
Kupaa angani ni nafsi inapopata mwanya wa kutoroka wakati mwili umelala na kuinjoy a sense of freedom!
Ndio maana watu wenye akili wako radhi kufia wanachoamini kuliko kuishi katika sense of denial!
Hata wewe, fikiria siku nafsi ikiamua kuwa ni heri ife kuliko kurudi kwenye gereza la mwili wako.
Wake up! Live the life you believe in or die!
 
Maranyingi naota kama napaa hewani, wakati mwingine kama natumbukia shimo refu au nakimbizwa na kitu cha hatari nikipiga kelele sauti haitoki. Nini tafsiri yake?

Kama umeota unapaa angani bila ya matatizo, yaani unaruka kiurahisi sana na chini yako ukaona mazingira ya kupendeza Basi inamaanisha mafanikio katika jambo unalolifuatilia kwa sasa.

Na kama kuruka uko kupo kwenye uwezo wako, yaani unaruka na kwenda unako kutaka ni dalili ya uwezo wa kufanya mambo yako kwa mafanikio au kupata madaraka.

Na kama kuruka uko unakufanya kwa jitihada kubwa na kulazimisha na urukaji ni kama ule wa chura, yaani unajitahidi kuruka lakini ni kwa shida sana, basi ni dalili ya kutoweza kutatua matatizo yako na ni dalili ya kutokuwa na madaraka ambayo unayatamani.

Na kama kwenye kuruka uko kunakupelekea woga kwa sababu aidha unaruka juu sana au unaporomoka kwenye shimo, ni dalili ya kuogopa kukutana na vikwazo au kuna mtu ambaye ni kikwazo kikubwa kwako au kuna mtu unaye muogopa kuwa anaweza kukuharibia maisha yako haswa kwenye kipato au mapenzi.

Kuota unakimbizwa ni dalili ya woga, au upo kwenye mamtatizo na unahisi hauna msaada kwa wale ambao unawategemea kama ndugu, jamaa na marafiki, kama unaweza ku- control ndoto, basi unaweza kukabiliana na huyo anaye kukimbiza, na utashangaa anapotea bila kukudhuru, ila kunataka ujasiri mkubwa kama ambao unaweza kuufanya ukiwa haupo ndotoni, yaani kukabiliana na kila ambaye anakukwaza kimaisha, aidha kimapenzi, kikazi au kwa jinsi yoyote ile.

NB:
Katika hali halisi, bila shaka hatuwezi kwa kweli kuruka,. Hivyo, ndoto hiyo inaweza kuwa uwakilishi wa mambo ambayo ni zaidi ya mapungufu yako ya kimwili na kiakili, kwenye ndoto unaweza kuwa na mtu yeyote na kufanya kitu chochote. Njia nyingine ya kutafsiri ndoto za kuruka ni kwamba hizi ndoto ni uwakilishi wa jitihada zako za kimaisha katika mambo mengi, kazi, mapenzi na yale yote yanayo kuzunguka.
 
Habari zenu wadau!jaman,ucku wa kuamkia leo,nimeota eti nimekutana na 'X' gal wangu,tukawa tumechangamkiana sana,akaja karibu yangu akani hug thn na me nkamkiss lips zake..asa tangu muda huo,nimejikuta namuwaza sana..sasa wadau nijipendekeze kumcheck au nipotezee tu na hyo ndoto inaashiria nin hapo wadau?
 
Sio kila ndoto ina maana katika realy life, may be ulikua unamuwaza hata kabla ya ndoto ndo mana umemuota..
 
Hiyo ndoto yako ina amanisha bado una mpenda na ndio maana umeamka ukimwaza inaelekea jana ilimwaza pia kabla ya kwenda kulala.
 
Mara nyingi ndoto huwa zinahusu yale mambo ambayo mtu alikuwa anawaza live (consciously) au bila kujua (subconsciously)!!

Unaweza ku-pursue hilo jambo at your own risk!!

Babu DC!!
 
Habari zenu wadau!jaman,ucku wa kuamkia leo,nimeota eti nimekutana na 'X' gal wangu,tukawa tumechangamkiana sana,akaja karibu yangu akani hug thn na me nkamkiss lips zake..asa tangu muda huo,nimejikuta namuwaza sana..sasa wadau nijipendekeze kumcheck au nipotezee tu na hyo ndoto inaashiria nin hapo wadau?

...ndoto hiyo tafsiri yake ni kinyume chake, mungu akunusuru tu...
 
Asikushughulishe akili yako,mie najua mwenzangu ukisha takipa ndio basi kumbe bado unayafikiria matapishi?
 
Mawazo yako tu hamna lolote hapo! Ungemuota kakushikilia panga ungesemaje?
 
Habari zenu wadau!jaman,ucku wa kuamkia leo,nimeota eti nimekutana na 'X' gal wangu,tukawa tumechangamkiana sana,akaja karibu yangu akani hug thn na me nkamkiss lips zake..asa tangu muda huo,nimejikuta namuwaza sana..sasa wadau nijipendekeze kumcheck au nipotezee tu na hyo ndoto inaashiria nin hapo wadau?

chondechonde senetor kwanza jiulize why mliachana na now uko na nani au bado uko vacancy? je wikend hii ulikuwa mpweke? au uligombana na uliyenaye now? mambo ya x-girl na boy friend kurudiana hiyo ipo sana esp yule wa kwanza kabisa watu wabaita kukumbushia ila angalia mmeachana kwa mda gani na kama hamkugombana hiyo ndo mbaya kabisa coz yy now yuko na nani ucje ukarudi mkaibia mkifumaniwa ni kifo rafki yangu kuna watu wanawivu mbaya bora aue na yy afungwe licha ya kufumaniwa y ujirisk na ngoma magonjwa mengi senetor kama ukiishinda nafsi ambayo ishaanza kukukumbushia mrudiane bila shaka umekumbuka zile sku mlizopeana raha tu na furaha je waweza kumbuka sku ambazo aliwah kukuudhi na kukukera? bila shaka kama ulikuwa umeshika sm kumpigia utaacha na kama hamna memory mbaya na yy je umewaza iwapo utajipanga kumtokea mara ya pili halafu anakutolea nje mbaya na kukupaka vibaya utakuwa mdogo kivp...lol mi naona negative tu kwenye kurudiana na x wako japo in nature x wako wa kwanza mkikutana after a long tyme watu huwa wanakumbushia take note MAGONJWA NYEMELEZI AMBUKIZI HATARI! ucje jutia nafsi bure
 
Ile ndoto ya kitandani achana nayo unaweza ukaota umejenga angani
 
Sio kila ndoto ina maana katika realy life
song3.jpg
 
Hii yako ndugu yangu imenifanya nikumbuke meeengi saaana ya maisha yangu, lakini mimi ninachokushauri jaribu kumcheki kwa salamu tu, X sio ndio maana yake ugomvi tokea awe X wako, binaadamu tunaishi hapa duniani kuna mambo meeengi sana, pia kumjulia hali mtu au maisha haina maana kuwa eti ndio ule u-X unaisha, unless wewe ndio ugeuze kibao.
kila mtu ana mipango katika dunia ya leo, kama haikuwezekana kati yenu salamu si ugomvi! Mpe hi....
 
Back
Top Bottom