mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 957
Roho i radhi ila mwili ni dhaifu.
Una tabia ya kuikana nafsi yako kutosimamia unacho amini na unapenda kwenda na mkumbo ili usionekane wa ajabu.
Matokeo yake nafsi inapiga kelele ili iokolewe kutoka kwenye huo mwili ulioifunga na kuikataza kuji express au kuwa creative na kulazimika kuishi predictable na mediocre life ili kufurahisha umma na hata inapopiga kelele sauti haiwezi kutoka maana mdomo uko kwenye mwili ambao unau control wewe Mr Simple life.
Kupaa angani ni nafsi inapopata mwanya wa kutoroka wakati mwili umelala na kuinjoy a sense of freedom!
Ndio maana watu wenye akili wako radhi kufia wanachoamini kuliko kuishi katika sense of denial!
Hata wewe, fikiria siku nafsi ikiamua kuwa ni heri ife kuliko kurudi kwenye gereza la mwili wako.
Wake up! Live the life you believe in or die!