Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Ni ndoto tu mbona mimi nimeota na do na f lady wetu mbona haijakuwa kweli
 
Is just Demonic dream, kama unaamini cast it in the name of Jesus, nothing bad will happen.
 
mm jana nimeota mpnz wang anafanya mapenzi na kaka wang wa damu toka nitoke, asubuh kulipokucha nikawa natafakar kuhusu hiyo ndoto so nikamua kumpgia cm mpnz wang na nikamuambia kuhusu hiyo ndoto, yy naeakaniambia ameota uck huo huo kuwa anafanya mapenz na mdogo wang wa damu, wakuuu nikabak nimeduwaaaaa tu cjui cha kufanya, je kuna mtu mweny ufaham kidogo na hiz ndoto??
Una mapenzi ya kweli na mwezako hivyo upo connected naye kiroho. Unajulishwa kuwa kuna hatari inanyemelea penzi lenu very sentive na muhusika atakuwa wa karibu sana thats why imetokea kwa msisitizo pande zoye mbili. Hilo kwa sasa bado lipo kwenye ulimwengu wa kiroho halijawa halisi bado hivyo unauwezo wa kuingia kwenye ulimwengu wa kiroho na kulisambaratisha mapema kabla halijatokea.
 
hahahahahah hii ndoto yako imenichekesha sana lakini pia inatoa funzo
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku

naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????
 
Daah bado natafuta jiwe la dhahabu nililoota jamani mweee. Sijui nitaliokota lini.
 
Ukiota unaogelea na umefika mwisho maanake ni kwamba shisa zako zinakaribia ukingoni.Sawa mwanawane!!??
 
Habari wanajamvi,mara baada ya salaam mimi ndugu yenu ni buheri wa afya,

Dhumuni la uzi huu ndugu zangu ni kuwaletea hiki nilichokiota usiku wa kuamkia leo, nataraji kupewa majibu mbalimbali miongoni mwa wachangiaji na niko tayari kuyapokea.

Usiku wa kuamkia leo nimeaota mkewangu akiwa amelala kitanda kimoja na mwanaume ambea hapo kabla nilishawahikuhisi wanamuhusiano ya kimapenzi lakini alipinga na kunipa vigezo ambavyo kwa upande mwingine nilijiridhisha, tangia hapo sikuona closeness yake na huyo mjamaa tena..

Ndoto yenyewe ilikuwa hivi;
Kwakuwa naishi mbali na mkewangu kutokana na kutenganishwa na kazi niliamua kwenda kumtembelea na kusalimia familia hii nikutokana na kupata kazi mkoa wa jirani ambao sio mbali(km160 aprx), nilipofika nikashtushwa kumkuta mkewangu akiwa namgeni ambae amejipumzisha katika kitanda anacholala,mbaya zaidi ni yule ambaye nilikuwa na mashaka na uhusioano wao.

Kiukweli nilipata uchungu kwenye hiyo ndoto mpaka kufika hatua ya kulia ikiwa pia ndio mara ya kwanza kulia katika mapenzi tangia nizaliwe ikizingatiwa nilshaumizwa na binti ambaye naamin nilimpenda sana kushinda wote kwenye uhusiano lakini sikuwahi kutokwa chozi.
Japo mke alinicomfort nakujaribu kutaka kuamini lakini hali ilizidi kuwa mbaya pale mwanangu wa kike 2 years old,akinisimulia yakuwa mama alikuwa ana kiss na dady kitu kilicho niumiza twice, and sikupata conclusion katika hiyo ndoto.
Cha ajabu sasa mpaka kuomba msaada huu wa kiimani na kimaona na kiutaalam mbalimbali nikwamba,asubuhi ni meamka na hasira kama kweli kile kitu kimetokea na pia nimeshindwa kumpigia mkewangu sim wala yeye hajanipigia sim mpaka sasa wakati si kawaida...

Kunanini hapa?mimi nahofu, mara nyingi nimekua nikiota mambo au matukio na yanakuwa kweli
 
Bahati mbaya Sheikh Yahaya hatuko naye tena.

Ila kwa uzoefu wangu wa kindotondoto, mkeo ana mimba changa ya mapacha. Mimba ina mwezi sasa. Kama hujakutana naye kimwili zaidi ya mwezi mmoja, ukae ukijua kabisa kitanda hakizai haramu.

Baada ya kusema hayo nakushauri uende ukafanyiwe maombi ili pepo la wivu likuwache miaka mia. Then umchukue mkeo uishi naye kabla hujaanza kulea watoto wa wanaume wenzio.
 
daahhh...umeniuwa mbaya asprin,nilishakukutananae sijajua sasa hapo kati ila i believe in that woman..sijui lakini pia asante sana kwa kunifungua
 
Mh pole...inawezekana kuna ukweli ndan ya ndoto hyo,na pia inaezekana umeota kwasababu ya mawazo ambayo tayar unayo,ila naona ktu cha ajabu mpaka sas haujaongea na mke wako wala nae hajakutafuta...si sawa,
Fanya uende ukamtembelee week hii bla kumwambia uone
 
Japo mke alinicomfort nakujaribu kutaka kuamini lakini hali ilizidi kuwa mbaya pale mwanangu wa kike 2 years old,akinisimulia yakuwa mama alikuwa ana kiss na dady kitu kilicho niumiza twice, and sikupata conclusion katika hiyo ndoto.

Mkuu, daddy c ndo wewe? Ama dota wako kila mwanaume ye anamuona ni daddy tu?
 
Mh pole...inawezekana kuna ukweli ndan ya ndoto hyo,na pia inaezekana umeota kwasababu ya mawazo ambayo tayar unayo,ila naona ktu cha ajabu mpaka sas haujaongea na mke wako wala nae hajakutafuta...si sawa,
Fanya uende ukamtembelee week hii bla kumwambia uone

bila kumwambia? 2taskia yakina mushi hakiyanani!!
 
Mkuu, daddy c ndo wewe? Ama dota wako kila mwanaume ye anamuona ni daddy tu?

kituambacho kiukweli nimeshindwa kukitafsiri,uje iko kama utani vile ila nikweli maana kuna incidence ambazo ziwezi kuzieleza kabisa i iwish kama tungekuwa na uwezo wakuzirecord kukuziplay ndoto kila mmoja akaona..
 
Back
Top Bottom