Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
duh me sipo deep kiivyo ila First what does your heart tells you. .go with it..thats God's voice. sikiliza sauti inayokupa amani ndani yako. go with it.
Best answer so far.
Kudos!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh me sipo deep kiivyo ila First what does your heart tells you. .go with it..thats God's voice. sikiliza sauti inayokupa amani ndani yako. go with it.
ACT kile chama cha Zitto?
na kama hajaokoka na kumuamini Mungu aliye hai??!!kama umeokoka na unamwamimi Mungu aliye hai funga na fanya maombi utafunuliwa tuu
darubini kali!Awazalo mtu ndio humtokea
Mimi ni mtumishi wa kanisa moja(nalipa jina KT kwa minajiri binafsi). Mwanzoni nilikuwa muumini wa kanisa(labda nilipe jina ACT). Nilipokuwa ACT niliomba nafasi kusomea huduma takatifu. Lakini uongozi haukunipa nafasi hiyo na ukiritimba ukijikita zaidi katika swala hilo. Nikaona nisipoteze kitu alichoweka Mungu ndani yangu. Kilichofuata, katibu wa mchungaji wa kanisa la KT akaniambia kuwa wanahitaji vijana 25 kwenda chuo kikuu kusoma Theology(Tawhiid). Nikakubali kusoma hadi nikahitimu na kuajiriwa na KT. Muda wote huo tangu nasoma hadi nikiwa kazini naambiwa ACT wananililia sana sana sana wakisema wanajuta kunipoteza. Sijawahi kujibu chochote. Nimekuwa nikiandamwa na ndoto zinanionesha kurudi kuwasaidia ndugu zangu ACT. Lakini zikinifikisha mazingira hayo naishia nje na siingii kuendesha misa kwani kunakuwa na mtumishi mwingine. Muda huu nimetoka tena kuota ndoto kama hiyohiyo inayojirudia mara nyingi. Je Mungu anataka nirudi ACT?Na kwa nini namkuta mtumishi anayefanya nisiendeshe misa?Maana yake ni nini?