REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hii ni taarifa fupi ya TIC
JANUARI-APRILI 2018, MIRADI MIPYA 109 YAANZISHWA - KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)
"Kati ya miradi mipya 109 , miradi 28 ambayo sawa na 34.86% inamilikiwa na wageni , miradi mitatu ni ya ubia na miradi 68 inamilikiwa na Watanzania"
Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji TIC
Katika hiyo 34.86% wanaoongoza ni wawekezaji kutoka Kenya sasa najiuliza Kenya kuna tatizo gani mbona wawekezaji wengi wanaikimbia na kuja kuwekeza Tanzania
Je Kenya kuna
Ajira nyingi sana?
Fursa za uwekezaji zimeisha?
Serikali imekinai kodi?
Nini tatizo?