Nini tatizo Kenya mbona wawekezaji wao wanakimbilia Tanzania?

Wacha hasira mwenye ameweka data. ni mwenzenu😀😀😀
hakuna hasira,,,,huyo jamaa karopoka TZ hakuna mkenya mwenye kiwanda na hakuna mkenya yeyote mwenye uwezo wakufungua kiwanda tz
 
Fungua iyo link yenye umewekwa hapo juu na mwenko, alafu kulikuwa na na uzi mwingine ulikuwa na data TTB utafute alafu uje tujadili.
nataka real evidence sitaki evidence uchwara
 
Na sio projects tu hadi utalii sisi ndio tunaongoza kuja tz alafu mnafyatua midomo mkituponda ati hatuwezi ishi bila nyinyi,sisi ndio tutawatoa kwenye kundi la LDC Mtuheshimu sana...
Vipi badala ya kuendeleza kuwekeza kwenu ili mtengeneze ajira, mkusanye kodi ili mpunguze madeni, mnazidi kutuletea ajira huku kwetu, sisi hatuna tatizo la ajira kama kwenu na hatuna madeni kama ninyi, pia sisi hatuwaruhusu kuja kutafuta ajira huku kwetu, hivi ninyi wakenya akili zenu mumezisahau wapi?
 
hakuna hasira,,,,huyo jamaa karopoka TZ hakuna mkenya mwenye kiwanda na hakuna mkenya yeyote mwenye uwezo wakufungua kiwanda tz
Hivi wewe umefungua link kweli ama we ndio umekurupuka? Nyingi ya hizo projects ni viwanda alafu real estate na agriculture...... soma article uache aibu ndogo ndogo, alafu na umuombe mwenzako msamaha
 
Vipi badala ya kuendeleza kuwekeza kwenu ili mtengeneze ajira, mkusanye kodi ili mpunguze madeni, mnazidi kutuletea ajira huku kwetu, sisi hatuna tatizo la ajira kama kwenu na hatuna madeni kama ninyi, pia sisi hatuwaruhusu kuja kutafuta ajira huku kwetu, hivi ninyi wakenya akili zenu mumezisahau wapi?
Tanzania ni shamba la bibi, tumekuja tu kuchuma alafu tukishiba twende zetu wacha bla bla😀😀😀
 
Hivi wewe umefungua link kweli ama we ndio umekurupuka? Nyingi ya hizo projects ni viwanda alafu real estate na agriculture...... soma article uache aibu ndogo ndogo, alafu na umuombe mwenzako msamaha
nimekuambia hivi tuma evidence na siyo maneno...
 
Tanzania ni shamba la bibi, tumekuja tu kuchuma alafu tukishiba twende zetu wacha bla bla😀😀😀
Labda kama huna akili, mkija kutalii maana yake mnatengeneza ajira za utalii huku Tanzania, wakati huo utalii wa Kenya unakufa, kwanini hamtumii akili?
 
Wewe mwehu kwa vile UK wanainvest Tz inamaanisha UK kuna tatizo? Mibongo nayo haina bongo hata.😀😀😀
Of course UK kuna limited investment opportunities all already occupied, expensive labor, bigger capital required, bigger competition, challenging market, strictly laws and regulations and so on

So Kenya and UK on investment spectrum is like Mars and Jupiter
 
nimekuambia hivi tuma evidence na siyo maneno...
Data Imetoka TIC(tanzania investment centre ) na TTB(tanzania tourist board) ambayo ni mashirika husika huko tanzania😀😀😀
 
Of course UK kuna limited investment opportunities all already occupied, expensive labor, bigger capital required, bigger competition, challenging market, strictly laws and regulations and so on

So Kenya and UK on investment spectrum is like Mars and Jupiter
Kenya ni kama Germany kwa Tanzania, muacha kubishana ili tuwatoe kwenye LDC upesi upesi😀😀😀
 
Kumbe unauliza swali lenye jibu unalo? You already knew why investors from more developed countries invest in less developed countries na bado unauliza. Thank you for proving your stupidity.😀😀😀😀
 
Hii ni taarifa fupi ya TIC

JANUARI-APRILI 2018, MIRADI MIPYA 109 YAANZISHWA - KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)

"Kati ya miradi mipya 109 , miradi 28 ambayo sawa na 34.86% inamilikiwa na wageni , miradi mitatu ni ya ubia na miradi 68 inamilikiwa na Watanzania"

Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji TIC

Katika hiyo 34.86% wanaoongoza ni wawekezaji kutoka Kenya sasa najiuliza Kenya kuna tatizo gani mbona wawekezaji wengi wanaikimbia na kuja kuwekeza Tanzania

Je Kenya kuna
Ajira nyingi sana?
Fursa za uwekezaji zimeisha?
Serikali imekinai kodi?
Nini tatizo?
Tanzania wajinga ni wengi believe me, wamekalia maneno tu hivo oppoturnity ni nyingi sana hata hazijatumika....tofaut na kwao kuanzisha mrad au kuwekeza inatakiwa mtu uwaze sana maana sehem nyingi zimekua occupied tofaut na uku watu wengi wanakimbilia kuuza vitumbua na barafu hawanaga malengo makubwa!!...

Ndo maana mirad ya nje n mingi sana yaan akija mtu wa nchi nyingine anaweza changanyikiwa maana kila kona fulsa ila watu ndio wamelala
 
Watanzania bado hatuna akili. Wakenya wanakuja fungua viwanda ili wasisumbuliwe border
Acha kujadili mada za hili jukwaa kama za huko chitchat

Moja ya investment ambayo ipo registered from Kenya ni Barclay's Bank, Standard Charted Bank, Unilever Africa, East Africa Breweries etc are they Kenyans or investment shifting from Kenya?
 
Kenya ni kama Germany kwa Tanzania, muacha kubishana ili tuwatoe kwenye LDC upesi upesi😀😀😀
Jibu swali, unajua kwamba mkija kutalii huku mnatengeneza ajira za utalii huku Tanzania wakati huo huo mnaumiza utalii wa Kenya ambao unatoa ajira kwa wakenya wengi sana, sasa hivi Kenya unemployment is the highest in Africa, bado ninyi wenyewe mnakimbia nchi yenu kuja kuleta ajira huku kwetu, akili zenu zikoje ninyi watu?, au ndiyo sababu mpo katika kundi la failed state?
 
Labda kama huna akili, mkija kutalii maana yake mnatengeneza ajira za utalii huku Tanzania, wakati huo utalii wa Kenya unakufa, kwanini hamtumii akili?
Utalii wa kenya wa ndani unakua kwa kasi mno na mimi siogelei utalii nasema hizo projects zingine kama real-estate.
 
Kumbe unauliza swali lenye jibu unalo? You already knew why investors from more developed countries invest in less developed countries na bado unauliza. Thank you for proving your stupidity.😀😀😀😀
Those characters are for first world countries Kenya is not even approaching as the matter of fact 50% and more are unemployed Kenyans so how expensive labor is in Kenya?
 
Jibu swali, unajua kwamba mkija kutalii huku mnatengeneza ajira za utalii huku Tanzania wakati huo huo mnaumiza utalii wa Kenya ambao unatoa ajira kwa wakenya wengi sana, sasa hivi Kenya unemployment is the highest in Africa, bado ninyi wenyewe mnakimbia nchi yenu kuja kuleta ajira huku kwetu, akili zenu zikoje ninyi watu?, au ndiyo sababu mpo katika kundi la failed state?
Sasa wewe umeanza kupandwa na hisia za kike, sasa kama kila saa naenda kutalii mombasa mbona nisijaribu Zanzibar ama Mauritius siku moja ?wacha kua na akili ya ujamaa wewe😀😀😀
 
Huu Uzi naona kama umeletwa kimipasho zaidi.

Kwa ajili ya kupata Kick ya majibu ya mgogoro wa wafanyabiashara wa TZ na Serekali yao.

I smell something fishy
 
Back
Top Bottom