Nini tatizo Kenya mbona wawekezaji wao wanakimbilia Tanzania?

Kenya ni kama Germany kwa Tanzania, muacha kubishana ili tuwatoe kwenye LDC upesi upesi😀😀😀
Those companies from Kenya are not coming from Kenya primarily, most of them are from Britain my friend like Barclay's Bank doing business in Tanzania with Kenyan identity of origin, is Barclay's Kenyan?
 
Those characters are for first world countries Kenya is not even approaching as the matter of fact 50% and more are unemployed Kenyans so how expensive labor is in Kenya?
You're an idiot. Kenya is still more developed than Tanzania.
 
Sasa wewe umeanza kupandwa na jisia za kike, sasa kama kila saa naenda kutalii mombasa mbona nisijaribu Zanzibar ama Mauritius siku moja ?wacha kua na akili ya ujamaa wewe😀😀😀
Sijakataa, lakini hilo mnalifanya kwa gharama ya kupoteza ajira katika nchi yenu, mnajua kwamba mnaongoza kwa majobless Afrika?. Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuua uchumi wako na kujenga uchumi wa mwenzako kwa kisingizio cha kubadilisha mazingira?. CS Balala anasumbuka kuvutia watalii, lakushangaza ninyi wenyewe mnapingana na serikali yenu. Ninyi ni failed state kweli kweli.
 
Those companies from Kenya are not coming from Kenya primarily, most of them are from Britain my friend like Barclay's Bank doing business in Tanzania with Kenyan identity of origin, is Barclay's Kenyan?
Kwaivo unataka kusema Tanzania hakuna Barclay's? 😀😀😀
 
You're an idiot. Kenya is still more developed than Tanzania.
Yeah and I can see great developments and living large
Duerre_Kenia_5.jpg
 
Kenya kuna wimbi la rushwa hatari....wale jamaa kwao without corruption maisha hayaendi kabisa
 
Sijakataa, lakini hilo mnalifanya kwa gharama ya kupoteza ajira katika nchi yenu, mnajua kwamba mnaongoza kwa majobless Afrika?. Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuua uchumi wako na kujenga uchumi wa mwenzako kwa kisingizio cha kubadilisha mazingira?. CS Balala anasumbuka kuvutia watalii, lakushangaza ninyi wenyewe mnapingana na serikali yenu. Ninyi ni failed state kweli kweli.
Kwaivo wewe hauwezi nunulia mtoto wako nguo kutoka nje ya nchi yako kwasababu unaogopa watu watapoteza ajira?
 
Those companies from Kenya are not coming from Kenya primarily, most of them are from Britain my friend like Barclay's Bank doing business in Tanzania with Kenyan identity of origin, is Barclay's Kenyan?
safi kabisa
 
Sijakataa, lakini hilo mnalifanya kwa gharama ya kupoteza ajira katika nchi yenu, mnajua kwamba mnaongoza kwa majobless Afrika?. Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuua uchumi wako na kujenga uchumi wa mwenzako kwa kisingizio cha kubadilisha mazingira?. CS Balala anasumbuka kuvutia watalii, lakushangaza ninyi wenyewe mnapingana na serikali yenu. Ninyi ni failed state kweli kweli.
hao wanazingua
 
You fool get lost
Thick rock skull
Wewe ndio unaleta hoja za kitoto na unataka ujadiliwe ....kwanini hizo kampuni za nje zisifanye bIashara directly kutoka nchi zao, mkishikwa lazima muanze propaganda za kijinga ati makampuni yenye yanawekeza sio ya wakenya bla bla, narudia sisi ni kama ujerumani kwenyu muache upumbavu.....
 
Kwaivo wewe hauwezi nunulia mtoto wako nguo kutoka nje ya nchi yako kwasababu unaogopa watu watapoteza ajira?
Wala usilete mifano ya kitoto, serikali yenu inafanya kampeni kubwa sana ya kufufua utalii uliosababisha wananchi wengi wa Kenya kukosa ajira, sasa ninyi wananchi badala ya kuunga mkono hizo juhudi za serikali, ninyi ndio mpo mstari wa mbele kurudisha nyuma uchumi wenu. Kenya ipo katika kipindi kigumu sana cha uchumi kwa sasa, hatutegemei watu wenye akili timamu kuendelea kuhujumu nchi yao katika kipindi hiki. Ninyi ni failed state original.
 
Wewe ndio unaleta hoja za kitoto na unataka ujadiliwe ....kwanini hizo kampuni za nje zisifanye bIashara directly kutoka nchi zao, mkishikwa lazima muanze propaganda za kijinga ati makampuni yenye yanawekeza sio ya wakenya bla bla, narudia sisi ni kama ujerumani kwenyu muache upumbavu.....
Mwananchi communications limited ipo Tanzania with registration from Nation Media limited Kenya, hiyo ni company ya mkenya?
 
Hahaha hawa wanafikiri wanaofungua makampuni kutoka Kenya ni wakenya kumbe ni wawekezaji walioanzia kuwekeza Kenya ila sasa hivi wanaikimbia Kenya na kuja kuwekeza Tanzania.

Wanasikitisha sana
yaani hiyo ndiyo akili yao .....wanadhani ni wakenya wenzao[emoji2] [emoji2]
 
Huezi kutafuta ulinganifu kimaendeleo kati ya Tanzana na Kenya, Tanzania ina safari ndefu sana kuelekea .. nashangaa sana mnavyopoteza muda kuisakama Kenya.Wakenya wanapiga hatua sana hata kama ni taratibu but they 're surely moving.

Wtz Hamuwezi kua serious, japo kidogo tu?
 
Mwananchi communications limited ipo Tanzania with registration from Nation Media limited Kenya, hiyo ni company ya mkenya?
Maswali za kijinga jiulize na ujijibu sina iyo time..
 
Back
Top Bottom