Nini tatizo Kenya mbona wawekezaji wao wanakimbilia Tanzania?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Hii ni taarifa fupi ya TIC

JANUARI-APRILI 2018, MIRADI MIPYA 109 YAANZISHWA - KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)

"Kati ya miradi mipya 109 , miradi 28 ambayo sawa na 34.86% inamilikiwa na wageni , miradi mitatu ni ya ubia na miradi 68 inamilikiwa na Watanzania"

Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji TIC

Katika hiyo 34.86% wanaoongoza ni wawekezaji kutoka Kenya sasa najiuliza Kenya kuna tatizo gani mbona wawekezaji wengi wanaikimbia na kuja kuwekeza Tanzania

Je Kenya kuna
Ajira nyingi sana?
Fursa za uwekezaji zimeisha?
Serikali imekinai kodi?
Nini tatizo?
 
Asante sana. Hao ni wawekezaji wa Kenya ambao wameona nafasi ya kuongeza mavuno.....wamekuja kuexpand dogo alafu pia mnataka muwe managers kwa izo kampuni ... Zabure nazo??
 
Magufuli analiza watuπŸ˜€πŸ˜€
 
Asante sana. Hao ni wawekezaji wa Kenya ambao wameona nafasi ya kuongeza mavuno.....wamekuja kuexpand dogo alafu pia mnataka muwe managers kwa izo kampuni ... Zabure nazo??
That's the condition otherwise kafungue kwenu!
 
Na sio projects tu hadi utalii sisi ndio tunaongoza kuja tz alafu mnafyatua midomo mkituponda ati hatuwezi ishi bila nyinyi,sisi ndio tutawatoa kwenye kundi la LDC Mtuheshimu sana...
hamjalazimishwa shenzy type muende Masai mara na Mombasa instead of Serengeti n Zanzibar.
 
Na sio projects tu hadi utalii sisi ndio tunaongoza kuja tz alafu mnafyatua midomo mkituponda ati hatuwezi ishi bila nyinyi,sisi ndio tutawatoa kwenye kundi la LDC Mtuheshimu sana...
sawa kaka bottas asante kwa povu shikamoo
 
Wewe mwehu kwa vile UK wanainvest Tz inamaanisha UK kuna tatizo? Mibongo nayo haina bongo hata.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
akili hauna wewe,,,je niwakenya wangapi unaowajua waliofungua kiwanda tz,,,?...acha kujipotosha
Wacha hasira mwenye ameweka data. ni mwenzenuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hakuna ukweli uliouongea......mkuu ukweli huja na evidence
Fungua iyo link yenye umewekwa hapo juu na mwenko, alafu kulikuwa na na uzi mwingine ulikuwa na data TTB utafute alafu uje tujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…