Those companies from Kenya are not coming from Kenya primarily, most of them are from Britain my friend like Barclay's Bank doing business in Tanzania with Kenyan identity of origin, is Barclay's Kenyan?Kenya ni kama Germany kwa Tanzania, muacha kubishana ili tuwatoe kwenye LDC upesi upesi😀😀😀
You're an idiot. Kenya is still more developed than Tanzania.Those characters are for first world countries Kenya is not even approaching as the matter of fact 50% and more are unemployed Kenyans so how expensive labor is in Kenya?
Sijakataa, lakini hilo mnalifanya kwa gharama ya kupoteza ajira katika nchi yenu, mnajua kwamba mnaongoza kwa majobless Afrika?. Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuua uchumi wako na kujenga uchumi wa mwenzako kwa kisingizio cha kubadilisha mazingira?. CS Balala anasumbuka kuvutia watalii, lakushangaza ninyi wenyewe mnapingana na serikali yenu. Ninyi ni failed state kweli kweli.Sasa wewe umeanza kupandwa na jisia za kike, sasa kama kila saa naenda kutalii mombasa mbona nisijaribu Zanzibar ama Mauritius siku moja ?wacha kua na akili ya ujamaa wewe😀😀😀
Kwaivo unataka kusema Tanzania hakuna Barclay's? 😀😀😀Those companies from Kenya are not coming from Kenya primarily, most of them are from Britain my friend like Barclay's Bank doing business in Tanzania with Kenyan identity of origin, is Barclay's Kenyan?
That is Tanzania😀😀😀Yeah and I can see great developments and living large
Kwaivo wewe hauwezi nunulia mtoto wako nguo kutoka nje ya nchi yako kwasababu unaogopa watu watapoteza ajira?Sijakataa, lakini hilo mnalifanya kwa gharama ya kupoteza ajira katika nchi yenu, mnajua kwamba mnaongoza kwa majobless Afrika?. Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuua uchumi wako na kujenga uchumi wa mwenzako kwa kisingizio cha kubadilisha mazingira?. CS Balala anasumbuka kuvutia watalii, lakushangaza ninyi wenyewe mnapingana na serikali yenu. Ninyi ni failed state kweli kweli.
real estate gani zinazomilikiwa nawakenya dar?Utalii wa kenya wa ndani unakua kwa kasi mno na mimi siogelei utalii nasema hizo projects zingine kama real-estate.
safi kabisaThose companies from Kenya are not coming from Kenya primarily, most of them are from Britain my friend like Barclay's Bank doing business in Tanzania with Kenyan identity of origin, is Barclay's Kenyan?
hao wanazinguaSijakataa, lakini hilo mnalifanya kwa gharama ya kupoteza ajira katika nchi yenu, mnajua kwamba mnaongoza kwa majobless Afrika?. Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuua uchumi wako na kujenga uchumi wa mwenzako kwa kisingizio cha kubadilisha mazingira?. CS Balala anasumbuka kuvutia watalii, lakushangaza ninyi wenyewe mnapingana na serikali yenu. Ninyi ni failed state kweli kweli.
Wewe ndio unaleta hoja za kitoto na unataka ujadiliwe ....kwanini hizo kampuni za nje zisifanye bIashara directly kutoka nchi zao, mkishikwa lazima muanze propaganda za kijinga ati makampuni yenye yanawekeza sio ya wakenya bla bla, narudia sisi ni kama ujerumani kwenyu muache upumbavu.....You fool get lost
Thick rock skull
Wala usilete mifano ya kitoto, serikali yenu inafanya kampeni kubwa sana ya kufufua utalii uliosababisha wananchi wengi wa Kenya kukosa ajira, sasa ninyi wananchi badala ya kuunga mkono hizo juhudi za serikali, ninyi ndio mpo mstari wa mbele kurudisha nyuma uchumi wenu. Kenya ipo katika kipindi kigumu sana cha uchumi kwa sasa, hatutegemei watu wenye akili timamu kuendelea kuhujumu nchi yao katika kipindi hiki. Ninyi ni failed state original.Kwaivo wewe hauwezi nunulia mtoto wako nguo kutoka nje ya nchi yako kwasababu unaogopa watu watapoteza ajira?
Mwananchi communications limited ipo Tanzania with registration from Nation Media limited Kenya, hiyo ni company ya mkenya?Wewe ndio unaleta hoja za kitoto na unataka ujadiliwe ....kwanini hizo kampuni za nje zisifanye bIashara directly kutoka nchi zao, mkishikwa lazima muanze propaganda za kijinga ati makampuni yenye yanawekeza sio ya wakenya bla bla, narudia sisi ni kama ujerumani kwenyu muache upumbavu.....
yaani hiyo ndiyo akili yao .....wanadhani ni wakenya wenzao[emoji2] [emoji2]Hahaha hawa wanafikiri wanaofungua makampuni kutoka Kenya ni wakenya kumbe ni wawekezaji walioanzia kuwekeza Kenya ila sasa hivi wanaikimbia Kenya na kuja kuwekeza Tanzania.
Wanasikitisha sana
Kauliza TIC wacha kuniuliza maswali ya kijinga😀😀real estate gani zinazomilikiwa nawakenya dar?
Maswali za kijinga jiulize na ujijibu sina iyo time..Mwananchi communications limited ipo Tanzania with registration from Nation Media limited Kenya, hiyo ni company ya mkenya?