Weka evidence makampuni yanafunga kenya yakija tanzania alafu yanamilikiwa na watu wa nje na sio wakenya.kama unavo shinda ukiimba hapa .....usipo leta iyo evidence mimi siwezi endelea kujadili utoto na wewe.Hahaha hawa wanafikiri wanaofungua makampuni kutoka Kenya ni wakenya kumbe ni wawekezaji walioanzia kuwekeza Kenya ila sasa hivi wanaikimbia Kenya na kuja kuwekeza Tanzania.
Wanasikitisha sana
Dangote cement Tanzania limited akija kuwekeza Kenya kwa kutumia registration ya dangote cement Tanzania limitedWeka evidence makampuni yanafunga kenya yakija tanzania alafu yanamilikiwa na watu wa nje na sio wakenya.kama unavo shinda ukiimba hapa .....usipo leta iyo evidence mimi siwezi endelea kujadili utoto na wewe.
Sasa hapa najadili na akili za kijamaa na iyo ni kama kupigia mbuzi guitar, alafu izo propaganda za ccm unaeza hapa ata kenya iko na wakati mgumu ndio ccm ionekane inafanya kazi uache, uchumi wetu unakua kwa asilimia 5 na sio negative ka nigeria wacha upumbavu.Wala usilete mifano ya kitoto, serikali yenu inafanya kampeni kubwa sana ya kufufua utalii uliosababisha wananchi wengi wa Kenya kukosa ajira, sasa ninyi wananchi badala ya kuunga mkono hizo juhudi za serikali, ninyi ndio mpo mstari wa mbele kurudisha nyuma uchumi wenu. Kenya ipo katika kipindi kigumu sana cha uchumi kwa sasa, hatutegemei watu wenye akili timamu kuendelea kuhujumu nchi yao katika kipindi hiki. Ninyi ni failed state original.
wacha hadithi mingi nipe evidence yenye nimekuitisha ndio tujadili....kwa mfano Unilever ama bidco ama kenya brewery imefunga kiwanda kenya ikaenda kufungua tanzania.. ..Dangote cement Tanzania limited akija kuwekeza Kenya kwa kutumia registration ya dangote cement Tanzania limited
Dangote anakua ni mtanzania?
Ndio hivyo kwa companies zote zinazoweleza Tanzania kutoka Kenya most of them wanakuja na registration za company zao huko and the big reason ni kupata East Africa community favor nothing special
Mnakimbiwa na wawekezaji alafu mnasema mnabadilisha Mazingira wakati mnazidi kuachwa majobless
Angalia thread iliyofunguliwa inayohusu viwanda vya Kenya, Manufacturig sector ya Kenya mwaka jana imekua kwa 0.2%, Tanzania 7%, haitoshi kuwa ni ushahidi?Weka evidence makampuni yanafunga kenya yakija tanzania alafu yanamilikiwa na watu wa nje na sio wakenya.kama unavo shinda ukiimba hapa .....usipo leta iyo evidence mimi siwezi endelea kujadili utoto na wewe.
Mbona una hasira sana jombaa?, point hapa ni kutaka kujua, kwanini utalii wa Kenya wenye kutoa ajira nyingi kwa wakenya unafanya vibaya sana, lakini wakenya wenyewe wanakuja kutalii na kujenga utalii wa Tanzania ambao unaingiza mapato, mara mbili zaidi ya ule wa Kenya?, hivi ninyi wakenya nani aliyewaloga?, au kuwa failed state ndiyo mnachanganyikiwa?Sasa hapa najadili na akili za kijamaa na iyo ni kama kupigia mbuzi guitar, alafu izo propaganda za ccm unaeza hapa ata kenya iko na wakati mgumu ndio ccm ionekane inafanya kazi uache, uchumi wetu unakua kwa asilimia 5 na sio negative ka nigeria wacha upumbavu.
Taja Kampuni moja inayewekeza Tz na registration ya Kenya na sio ya Kenya.Dangote cement Tanzania limited akija kuwekeza Kenya kwa kutumia registration ya dangote cement Tanzania limited
Dangote anakua ni mtanzania?
Ndio hivyo kwa companies zote zinazoweleza Tanzania kutoka Kenya most of them wanakuja na registration za company zao huko and the big reason ni kupata East Africa community favor nothing special
Mnakimbiwa na wawekezaji alafu mnasema mnabadilisha Mazingira wakati mnazidi kuachwa majobless
Leta data ya Tanzania venye uzalishaji ma sukari, simiti na assembly ya magari ilikua ndio tulinganishe ndio tujadili, alafu 2017 ilikuwa election year na kila kitu kinakuanga slow, mbona sales ya magari mapya/assembled cars imejump 13percent miezi mitatu ya 2018?Angalia thread iliyofunguliwa inayohusu viwanda vya Kenya, Manufacturig sector ya Kenya mwaka jana imekua kwa 0.2%, Tanzania 7%, haitoshi kuwa ni ushahidi?
Kwa ujumla manufacturing sector ya Kenya imekua kwa 0.2%, Tanzania 7%, hizo details za sector moja moja sio muhimu kwasababu zote kwq pamoja ndizo zinaitwa manufacturing sector. Kuhusu uchaguzi, hiyo ni mambo yenu ya ndani, nani aliyewaambia mkumbatie ukabila kiasi cha kuchinjana wakati wa uchaguzi?, ujinga wenu ndio unaosababisha utalii, manufacturing, na mambo mengine kuharibika.Leta data ya Tanzania venye uzalishaji ma sukari, simiti na assembly ya magari ilikua ndio tulinganishe ndio tujadili, alafu 2017 ilikuwa election year na kila kitu kinakuanga slow, mbona sales ya magari mapya/assembled cars imejump 13percent miezi mitatu ya 2018?
Hata Tz ipo na mambo yake ya ndani inayosumbua serikali lakini hiki si kisingizio..Manufacturing inachapa 7%Kwa ujumla manufacturing sector ya Kenya imekua kwa 0.2%, Tanzania 7%, hizo details za sector moja moja sio muhimu kwasababu zote kwq pamoja ndizo zinaitwa manufacturing sector. Kuhusu uchaguzi, hiyo ni mambo yenu ya ndani, nani aliyewaambia mkumbatie ukabila kiasi cha kuchinjana wakati wa uchaguzi?, ujinga wenu ndio unaosababisha utalii, manufacturing, na mambo mengine kuharibika.
wacha story za zilipendwa.........mambo hayo yashapitwa nawakati kenya ilikuwa kitambo mda si mrefu tunawabwaga.....Huezi kutafuta ulinganifu kimaendeleo kati ya Tanzana na Kenya, Tanzania ina safari ndefu sana kuelekea .. nashangaa sana mnavyopoteza muda kuisakama Kenya.Wakenya wanapiga hatua sana hata kama ni taratibu but they 're surely moving.
Wtz Hamuwezi kua serious, japo kidogo tu?
If that is the case; you should focus on Investing in Siria, Somalia and Central Africa before considering Tz...THINK BIG!!!!
Hii ni taarifa fupi ya TIC
JANUARI-APRILI 2018, MIRADI MIPYA 109 YAANZISHWA - KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)
"Kati ya miradi mipya 109 , miradi 28 ambayo sawa na 34.86% inamilikiwa na wageni , miradi mitatu ni ya ubia na miradi 68 inamilikiwa na Watanzania"
Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji TIC
Katika hiyo 34.86% wanaoongoza ni wawekezaji kutoka Kenya sasa najiuliza Kenya kuna tatizo gani mbona wawekezaji wengi wanaikimbia na kuja kuwekeza Tanzania
Je Kenya kuna
Ajira nyingi sana?
Fursa za uwekezaji zimeisha?
Serikali imekinai kodi?
Nini tatizo?
Mh...Kwa mtazamo huo kweli huna akili? (nisamehe kwani ni wewe mwenyewe umesema huna akili)Watanzania bado hatuna akili. Wakenya wanakuja fungua viwanda ili wasisumbuliwe border
Twford Ceramics Kenya is registered in Kenya and Twford Ceramics Tanzania is registered in Tanzania. Stop being insecure.Twyford Ceramic Tiles.
watanzania wengi hatujui hapa nchini kuna fursa ambazo tusipo shituka wajukuu au vitukuu vitakuja kutulaaniHii ni taarifa fupi ya TIC
JANUARI-APRILI 2018, MIRADI MIPYA 109 YAANZISHWA - KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)
"Kati ya miradi mipya 109 , miradi 28 ambayo sawa na 34.86% inamilikiwa na wageni , miradi mitatu ni ya ubia na miradi 68 inamilikiwa na Watanzania"
Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji TIC
Katika hiyo 34.86% wanaoongoza ni wawekezaji kutoka Kenya sasa najiuliza Kenya kuna tatizo gani mbona wawekezaji wengi wanaikimbia na kuja kuwekeza Tanzania
Je Kenya kuna
Ajira nyingi sana?
Fursa za uwekezaji zimeisha?
Serikali imekinai kodi?
Nini tatizo?