Nini tatizo la gari kutaka kuruka ukibadilisha gia?

tya02

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
850
Reaction score
1,061
Habari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
 
Isije ikawa imewekwa injini ye helikopta... Passo ikipaa mbona itakuwa full burudani?? kwakuwa unaweza kutua hata juu ya paa la choo cha uswazi

Hebu ngoja tuwasububiri wataalam, labda kuna ishu ya kiufundi.
 
Hahahahaha....umenitengua mbavu ya kushoto
 
Isije ikawa imewekwa injini ye helikopta... Passo ikipaa mbona itakuwa full burudani?? kwakuwa unaweza kutua hata juu ya paa la choo cha uswazi

Hebu ngoja tuwasububiri wataalam, labda kuna ishu ya kiufundi.
Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji6] am serious Asprin acha utani
 
Yaani itabidi monday nirudi Garage yaan naogopa kuongez speed maana inaweza paa
Kipasso hakina nguvu wala usiogope sema kantaga mafuta ile inapotaka kupokea achia kidogo konyaga tena haitaruka na baada ya hapo unatembea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…