Nini tatizo la gari kutaka kuruka ukibadilisha gia?

Nini tatizo la gari kutaka kuruka ukibadilisha gia?

Hongera mwaya, ukinikuta road usiache kunipa lift. Mi bado nimefunga ndoa na tuktuk yangu SanLG, nasubiria ipate mimba labda inaweza kujifungua boxer nami nikafanye wizi benki ninunue Jeep.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babu uzaekea huko safi sana
 
Jamani Asprin mbona unasema kale[emoji23]sema gari
Hahahaha mkuu nilikuwa sijasoma hii comment. Nilikuwa na kastarlet kangu... bana waswahili niliwakoma... eti wanakaita mtoto wa gari afu wanashangaa mbona hakakui... mijamaa yenyewe iliyokuwa inanicheka haijawahi kubahatika kununua japo bodaboda mpaka kesho....
 
Hahahahahah
 
Ulivosema gear nikajua gari manual kumbe auto,sijui. Siendeshagi hizo[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Mkuu jitahidi nawe umiliki haka ka baby walker. kakifungwa injini ya Helikopta hawa kina Dar Express unawapita juu kwa juu kama Bombadier ya mzee wa Chato.
We umeharibu uzi,Chato imeingiaje hapo.Kama hukuwa na cha kuchangia si ungenyamaza?
 
Itakuwa na tatizo la Closse members, iwahishe kwa fundi, ukiipisha kwenye mashimo unaweza kuiacha Gari
 
Gear Box hiyo babu, wahi Gerage la sivyo itashindwa hata kubadili
 
Daaah hahahaa.... Sasa bajaji matairi matatu wanawake watanitaka kweli?
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, mtoto hutambaa ndio atembee...

sasa mkuu ukianza na gari huoni utakuwa umeruka stage???

Usijali, hawa wanawake wa kipindi hiki cha anko Magu, hata kwa mkopo wanatoa tunda.
 
Sawa mkuu ntakutafuta tuongee bei
 
Uza tu, hizo baby walks hua haZivumilii shida...au labda expiry date imekaribia

[HASHTAG]#jiongeze[/HASHTAG] ununue gari nyingine mkuu
 
Back
Top Bottom