Nini tatizo la gari kutaka kuruka ukibadilisha gia?

Tatizo lipo kwenye ENGAGE yaan inachelewa kutoa na kupokea gia,mafundi wanaelewa mwambie Kanusu mkate kangu nakapenda Sana lakini tatizo nihilo tu.watakusaidi bro
Hahaaa eti nusu mkate hahahaha mm naona n kama Bentley[emoji23][emoji23][emoji23]cjui nimepatia uandish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mawili. Inawezekana gearbox mount imekufa au hydrolic ya gearbox imeshakaa muda mrefu na inahitaji kubadilishwa. But in the worst case scenario inawezekana converter inayokaa ndani ya gearbox imekufa!
 
Habari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
Nenda garage huko utakuta mafundi, humu utaambulia story tu!
 
Habari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
Hilo tatizo hata kwangu lipo. Napata shaka na hizi gari
 
Kuna mawili. Inawezekana gearbox mount imekufa au hydrolic ya gearbox imeshakaa muda mrefu na inahitaji kubadilishwa. But in the worst case scenario inawezekana converter inayokaa ndani ya gearbox imekufa!

Hiyo converter mkuu ndio tabu kidogo kuielewa.. matengenezo yake yapoje???
 
Habari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
Mkuu ongezea pangaboi maisha yako yawe ya hewani tu kwa maisha ya daslam utainjoi sana,kila la Kheri passo dreamliner for life.
 
Hakikisha unakanyaga break vyema kabla ya kufanya hivyo ukiona inaendelea hivyo muone fundi mapema kabla halijakuua buree.
 
Mkuu ongezea pangaboi maisha yako yawe ya hewani tu kwa maisha ya daslam utainjoi sana,kila la Kheri passo dreamliner for life.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kati ya magari madogo yaliyo mengi watu wengi wamelalamikia Passo na Mazda Demio kuwa zinasumbua, shida ni nini, wataalamu mnijuze kidogo.
 
Hiyo converter mkuu ndio tabu kidogo kuielewa.. matengenezo yake yapoje???
converter ni sawa na clutch plate kwenye gari ya manual.. Ikiwa imekufa shusha gearbox uende na converter Kariakoo gerezani ukatafute ingine.
 
Kati ya magari madogo yaliyo mengi watu wengi wamelalamikia Passo na Mazda Demio kuwa zinasumbua, shida ni nini, wataalamu mnijuze kidogo.
mkuu hizi gari hasa toyota passo zina sumbua sana hasa kutembelea km nyingi yani masafa malefu hazitaki hizi ni spesho kwa kuendea job na visafar vifupi fupi pia service za ujanja hazitaki kabisa
 
Back
Top Bottom