Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda tu kwa fund wangu,,, mm yangu pia ilikuwa na mkito kama yako ila haiwash OD ,, bila kuiwasha ,,ila inawasha taa ya ABS nimehangaika na mafund imeshindikana ila kuhusu mkito niliambiwa ni maunting ilikatika zote mbili (sijui kama ndo linaandikwa hivyo)ila tatizo.liliisha ,, ila nyie mnaosema n gia box punguzen masihara jaman gia box n mziki mwingine kwa uchum huu wa sasaNaelewa n over drive...ila nimekwmbia kinawak n kuzima ..ukizima still kinaonesha hvy hbyo na hata ukiwash still the same
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaaahaaaaa sa nifanyaje mana nakuwazia tu kwa usawa huu gar ikianza zingua n mziki mwingineHahahaha my dia nina gari huu mwaka w kumi unaniuliza najua kinapowashiwa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thnx....nitakwnd kw fundinenda tu kwa fund wangu,,, mm yangu pia ilikuwa na mkito kama yako ila haiwash OD ,, bila kuiwasha ,,ila inawasha taa ya ABS nimehangaika na mafund imeshindikana ila kuhusu mkito niliambiwa ni maunting ilikatika zote mbili (sijui kama ndo linaandikwa hivyo)ila tatizo.liliisha ,, ila nyie mnaosema n gia box punguzen masihara jaman gia box n mziki mwingine kwa uchum huu wa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante sana mwaya....we acha n jan hii isiyoisha we acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaaahaaaaa sa nifanyaje mana nakuwazia tu kwa usawa huu gar ikianza zingua n mziki mwingine
Hapana ndugu,hapa niliandika nikiwa sina upande wowote,ufipa au lumumba,mara nyingine tunenapo ni bora kutanguliza busara pasipo kujali itikadi kama mimi nilivyonena.Lumumba resident.
Basi sawa.Hapana ndugu,hapa niliandika nikiwa sina upande wowote,ufipa au lumumba,mara nyingine tunenapo ni bora kutanguliza busara pasipo kujali itikadi kama mimi nilivyonena.
Jaribu kupitia huo uzi kuna vitu naona vipo common katika ubovu wa hayo magariHabari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona dose ya Aspirin imezidi.Isije ikawa imewekwa injini ye helikopta... Passo ikipaa mbona itakuwa full burudani?? kwakuwa unaweza kutua hata juu ya paa la choo cha uswazi
Hebu ngoja tuwasububiri wataalam, labda kuna ishu ya kiufundi.
Hapa uko kikazi au shughuli binafsi??distance 160 km mafuta ya elf 20 kama lita 10 so consumption ya 16 hongera sana
mzima lakin
Hahahaa... nimejiovadozi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona dose ya Aspirin imezidi.
Hapa uko kikazi au shughuli binafsi??
Unajau haka kagari kanapendwa sana na wale jamaa zetu... nadhani itakuwa strategy ya kupata taarifa.
We ni jiniaz kama Bill Gate.
Meza metakelfin ili malaria ipone, asprin inapunguza maumivu kwa muda tu.Halafu baadae ukisoma utaelewa kilichoandikwa ni kwa lugha ya Kiswahili au Kipemba.Hiyo ni kwa lugha ya kwenu... Tumia kiswahili, lugha ya taifa.
Mjomba unaumiza mbavu zangu kwa cheko. Umeidharau sana passoIsije ikawa imewekwa injini ye helikopta... Passo ikipaa mbona itakuwa full burudani?? kwakuwa unaweza kutua hata juu ya paa la choo cha uswazi
Hebu ngoja tuwasububiri wataalam, labda kuna ishu ya kiufundi.