Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una kapenda wapi we sema tu sina hela ya kununua nyingine maana.uki kauza hako pesa.yake.hata sunlg ina bei badoAsante my dia..ila nakipenda sana maana hakil mafuta kabisaaa full bata
Isije ikawa imewekwa injini ye helikopta... Passo ikipaa mbona itakuwa full burudani?? kwakuwa unaweza kutua hata juu ya paa la choo cha uswazi
Hebu ngoja tuwasububiri wataalam, labda kuna ishu ya kiufundi.
Hujawasha OD wewe kweli?
Au kuna sensa imekufa
Gari auto clutch itke wapi....ww ndio hujui kbssidhani kama kuna tatizo em jarb kukanyaga brek/cluch had mwisho then engage gia af lete mrejesho hapa
Mkuu kusema kweli hamna mtu anayependa paso umasikini tu unatufanya tununue hivi vigariuna kapenda wapi we sema tu sina hela ya kununua nyingine maana.uki kauza hako pesa.yake.hata sunlg ina bei bado
Hahahaa [emoji23][emoji23][emoji23] we ndo ujui!Gari auto clutch itke wapi....ww ndio hujui kbs
Yaani wewe..du!Isije ikawa imewekwa injini ye helikopta... Passo ikipaa mbona itakuwa full burudani?? kwakuwa unaweza kutua hata juu ya paa la choo cha uswazi
Hebu ngoja tuwasububiri wataalam, labda kuna ishu ya kiufundi.
Gari auto clutch itke wapi....ww ndio hujui kbs
kaka mengine mezea tu maana hata mleta mada yeye ndie kachanganya wezake gari ya automatic huwa una change direction tu kwa mfano kutoa kwenye paking P kwenda kwenye drive au D kupeleka kama hivyo RGari auto clutch itke wapi....ww ndio hujui kbs
Ni kweli dada kapiga hatua mimi hata baiskeli sina ila sisi wabongo hatujui matumizi ya haya magari ya kijapani haya hataki tabu wala kukatembelea km nyingi na hizi barara zetu za mashimo lazima kawahi kufa na pia service za ujanja zina changia piaMkuu kusema kweli hamna mtu anayependa paso umasikini tu unatufanya tununue hivi vigari
Jamaa anatuzuga tu hapa
Peleka kwa fundi akuchekia sensor ya gear box sometimes kuna waya zikikatika zinaleta shida hiyo ya gear box kustuka pindi unapobadilisha giaHabari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
Wanaume tumeubwa matesoo matesooo kuhangaika.Mkuu kalikuwa kanawasha check engine kila mara nikakiuza sa hivi na ingine
Natafuta mke mkuu!Najua mkuu, nachangamsha damu tu.
Hicho kigari nakiheshimu sana... dadaangu alishapaa (sorry alikiendesha) toka Dar mpaka Moshi kwa mafuta ya elfu 60 tu.