Sawa mkuuPesa =Hela - synonymous words.
ilivo =ilivyo - tofauti ya matamshi neno ni lile lile. Ingawa "ilivyo" ni neno rasmi tofauti na "ilivo"
Naam. Nimekuja kuna nini tena huku ?Zurri njoo mwalimu wangu wa lugha.
Nilikuwa naogopa nikaamua kukuita.Naam. Nimekuja kuna nini tena huku ?
Nilikuwa naogopa nikaamua kukuita.
Okay, hebu soma mada halafu utoe jibu.
Asante , je ni,Pesa na hela ni matamko mawili yenye kuwasilisha kitu kimoja.
Ilivo sio sahihi bali usawa ni Ilivyo.
Sawa nimeelewa sasa.Ndiyo
Siyo
Inapendeza mwanafunzi wangu MTIIFU.Sawa nimeelewa sasa.
Inategemea; kama una maana ya kuthibitisha (kukubali) au kukanusha (kukataa) inapaswa utumie ndiyo na siyo respectively (Mfano namba moja na mbili).Asante , je ni,
Ndio au ndiyo
Sio au siyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe bwana, kijerumani cha wapi hicho? Na geld ni nini? Acha kulisha watu matango pori
Kwenye kukubali na kukataa NiSamahani kuuliza si ujinga. Kwenye hayo maneno hiyo Y imetokea wapi? Nijuavyo ni:
Ndio
Sio
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]