Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Yeah. Ni sanitaiza ya ndani kwa ndaniPole sana babu, na inasemekana hizo kitu ni kinga tosha kwa corona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah. Ni sanitaiza ya ndani kwa ndaniPole sana babu, na inasemekana hizo kitu ni kinga tosha kwa corona.
Pesa na hela, zote mbili ni za asili ya nje. Soma changu juu.Pesa ndo kiswahili fasaha,neno Heller(hela) ni neno lenye asili ya kijerumani likimaanisha pesa so tumetohoa toka lugha ya kijerumani mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila lugha inakopa. Je unajua lugha isiyokopa? Kiingereza na Kiswahili zote ni lugha ambazo zimechukua sehemu kubwa kutoka lugha nyingine (Kiingereza asilimia 50 kutoka Kifaransa / Kilatini, Kiswahili asilimia 25-30 kutoka Kiarabu). Je unaweza kusema maneno mangapi ya Kiswahili bila kutumia maneno yenye asili ya Kiarabu?
ukisema "Hoja kuu ni kwamba kwa nini lugha tajiri kama Kiswahili" maneno manne (rangi nyekundu) ni ya asili ya Kiarabu.
Ukisema zamani ilikuwa "kansa", leo unasikia "saratani" - yote ya kukopa - Kansa ni kiasili Kilatini, ilikopwa na Kiingeerza na kufika Kiswahili; saratani kutoka Kiarabu.
Tatizo ni nini katika kukopa maneno? Kama inafaulu, itakuwa neno la lugha yenyewe.
Kwa hela/ pesa: si ajabu. Kitu chenyewe kilikuwa kigeni kwa wenyeji, hivyo walitumia neno jinsi gani kitu hii kipya lilivyotambulishwa kwao. Hi si lazima, lakini imetokea kote duniani vile.
Naomba kufahamu jinsi ya kutumia maneno yafuatayo:
- pesa
- hela
Mf: Alimpa pesa au alimpa hela
- ndivo ilivo au ndivyo ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji86][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]we ndo mwalimu wa kishwahili. Nimeelewa SanaHela unaweza nunua dagaa,kitunguu,sembe,kuni,mchele,unga,ndala,kiberiti,nyanya,nauli kwenye daladala nk
Pesa unaweza nunua range,Vx V8,buggatti,ferrari,Maghorofa,mademu wakali,anasa zote utakazo unaweza nunua wabunge nk .
Umeelewa hapo Mzee Brother?
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiyoUshawahi kutamka tamko "ndio" ukiwa unaongea ? Kipi kilisikika ? Ndiyo au Ndio ? Nakukumbusha tu kuna elimu ya kujifunza mtoko wa herufi.
Naomba kufahamu jinsi ya kutumia maneno yafuatayo:
- pesa
- hela
Mf: Alimpa pesa au alimpa hela
- ndivo ilivo au ndivyo ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
pesa ni neno la kiswahili hela ni neno lenye asili ya kijerumani HELLER Ila yote maana ni ile ile.Naomba kufahamu jinsi ya kutumia maneno yafuatayo:
- pesa
- hela
Mf: Alimpa pesa au alimpa hela
- ndivo ilivo au ndivyo ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
pesa ni neno la kiswahili hela ni neno lenye asili ya kijerumani HELLER Ila yote maana ni ile ile.
Hela pesa lina majina mengi sana ya kimitaani kwa vile ni kitu kizuri
Ngawira,njuluku,mkwanja,mawe,kokoto,kakakuona,