Kwenye kukubali na kukataa niKwenye kukubali na kukataa Ni
Ndiyo boss
Au siyo
Usipoweka Y unakuwa unakosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaaisha wingi wa hela Ni pesaMm nnachojua Kuna watu wana PESA, na kuna watu wana HELA! Mf yule @Kidukulilo ana Pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika lugha kwa mujibu wa wanasarufi wakongwe Kuna kitu kinaitwa udondoshaji(hapa ndio utakutana na kioo kutoka neno kilolo,ndio /ndiyo)msingi unatokana na utashi wa mjuvi wa lugha,anataka kutumia mda mchache kuzungumzaSamahani kuuliza si ujinga. Kwenye hayo maneno hiyo Y imetokea wapi? Nijuavyo ni:
Ndio
Sio
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Pesa ni neno ambalo limetoholewa kutoka kwenye neno la Kihindi "Paisa" ambalo likiwa na maana ya Sarafu.Naomba kufahamu jinsi ya kutumia maneno yafuatayo
- pesa
- hela
Mf. Alimpa pesa au alimpa hela
- ndivo ilivo au ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha hata Carleen hajui kijerumani! Huwezi kusema neno shillingi ina maana ya pesa au fedha au hela
Naonge kishwahili na ni mtanzania na nimekulia Tanzania lakini Kila nikiandika sms nakose vitu Kama ivInaonesha hata Carleen hajui kijerumani! Huwezi kusema neno shillingi ina maana ya pesa au fedha au hela
Kisentensi sawa lakini kisarufi ni tungo tata
Hapo umeenda darasani ndo umeniacha kabisaKisentensi sawa lakini kisarufi ni tungo tata
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Samahani kwa kuchanganya madessa! Umenisamehe?Nadhani ulimaanisha Careem mkuu, nimeshangaa huku nimefikaje?
We good Mr. Njinjo, nadhani na Careem anapaswa aone hii..!!Samahani kwa kuchanganya madessa! Umenisamehe?
Si vyema kuandika hivyo maana kuna maneno ukiondoa herufi moja unaongelea kitu kingine. Na kumbuka kuandika vimikato hivyo kwa mtu unayemheshimu kama mzazi ni dharauNaonge kishwahili na ni mtanzania na nimekulia Tanzania lakini Kila nikiandika sms nakose vitu Kama iv
Mf. Ivo, hivyo au ivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa mheshimiwa unaposema we good (small boy) njinjoWe good Mr. Njinjo, nadhani na Careem anapaswa aone hii..!!
Hapo umegeuzia mkuuHebu angalia kwenye mifano hii
1. Hii ndiyo nyumba yangu.
2. Weka alama ya ndio kwa mgombea wetu
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Na inashangaza kidogo kuona lugha inakopa neno kutoka lugha mbalimbali lakini lenye maana ile ile. Pengine swali la kujiuliza ni kama matumizi ya haya maneno yana hadhi sawa katika jamiiNijuavyo mimi; hela, pesa na fedha ni maneno tofauti yenye maana moja (synonyms).
• Pesa ni neno lililotoholewa kutoka katika Lugha ya Kihindi (Paisa).
• Hela ni neno lililotoholewa kutoka katika Lugha ya Kijerumani (Heller).
• Fedha ni neno lililotoholewa kutoka katika Lugha ya Kilatini.
Yote yana maana moja.
Mkuu wewe ni Mkenya?Kwenye kukubali na kukataa ni
Ndio na Sio. Mfano:
Swali: Ndio huyu mtu mwenyewe?
Hapana sio huyo
Ndio huyo
Ndiyo na siyo hutumika kwa vitu. Mfano
Swali: Hii ndiyo shati uliyokuwa unaitafuta?
Ndiyo hiyo
Siyo hiyo
Ijapokuwa utaona kuna mfanano kwenye matamshi ila utofauti upo kwenye maandishi.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Ungekuwepo umesoma lugha usingepata taabu sana tatizo kichwani upo ovyo kwani kuna tofauti gani kati ya neno Assist na Help?Naomba kufahamu jinsi ya kutumia maneno yafuatayo:
- pesa
- hela
Mf: Alimpa pesa au alimpa hela
- ndivo ilivo au ndivyo ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app