Nini tofauti ya Kiswahili cha Tanzania na Spanish?

Nini tofauti ya Kiswahili cha Tanzania na Spanish?

Siku hizi JF imekua world wide, kuna yule Bakari China, mchina wa jamii forum. Na sasa kuna wewe unayewakilisha waspanyola.I

Can you teach me espanola? If you don't mind.
 
Poco gente habla español en este pais,solo hablo que en todo de africa no mas que poco de diez millones hablarlo.

¿Qué diferencia hay entre el idioma swahili y el idioma español?

las chicas negras son atractivas!

Napendana Africa
 
El diferencia entre Swahili y español es muy grande como el diferencia entre la tierra y el agua 😂😂
Tofauti ya Kiswahili na Kihispania ni kubwa sana kama tofauti ya nchi kavu na maji.

Nimejaribu tafsiri bila msaada wa kamusi!
 
¿Qué diferencia hay entre el idioma swahili y el idioma español?

las chicas negras son atractivas!

Napendana Africa
hay so mucha difference,Swahili es end Africa y especial lengua de Africa pero este espanol nobporr Africano.
Que quires a comprender ?
estudiante ?
 
Napenda sana pronounciation ya spana sema tu ndo sijui na nimeanza fatilia spanish katika series ya narcos na lacasa de papel.
 
Napenda sana pronounciation ya spana sema tu ndo sijui na nimeanza fatilia spanish katika series ya narcos na lacasa de papel.

Tuungane pamoja kukisoma mkuu,mm nina miezi kama 10 hivi najisomea mwenyewe naona maendeo sio mabaya sana,baada ya miaka miwili nahisi nitakuwa vizuri
 
Tuungane pamoja kukisoma mkuu,mm nina miezi kama 10 hivi najisomea mwenyewe naona maendeo sio mabaya sana,baada ya miaka miwili nahisi nitakuwa vizuri

Anafundisha Kihispania na Kitaliano huyu hapa.
 
Kiingereza ndo kila kitu,Popote duniani unaeleweka.
Kingerezi Ni kirahisi Nilikuwa fluent nikiwa Form two kuna wazungu nilikuwa naishi nao community moja "Angelica sisters" miaka ile

sasa nataka kumaster "Romance languages"
 
Back
Top Bottom