Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Perfect, ni kama ilivyo Tanga.Hakuna Manispaa ya Nyamagana bali kuna Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza lenye mipaka ya iliyokuwa Manispaa ya Nyamagana ambayo ilifutwa
Hapa tunashindwa kuelewa, kwa mfano Mwanza mjini (kati) kuna wilaya mbili ambazo ni Nyamagana na Ilemela...
Tukisema katibabya mwaka 1977 imempa rais mamlaka makubwa mno, kiasi kwamba kwa hisia zake tu anaweza kuamua atakalo na likaigharimu nchi, huwa tunamaanisha.Hivi ndivyo alivyoamka leo!
Kichaa akiamka anaamua ataka yo . Lwa kweli maamuzi haya ya mtu moja yana athari kubwa sana kwa ustawi wa Yaifa letu na watu wake.Tukisema katibabya mwaka 1977 imempa rais mamlaka makubwa mno, kiasi kwamba kwa hisia zake tu anaweza kuamua atakalo na likaigharimu nchi, huwa tunamaanisha.
Tunataka katiba mpya
Huwa tunasema mwenye macho haambiwi tazama, nahodha kasema ya moyoni jinsi alivyowavusha.Unaambiwa madiwani hawakushinda kwenye uchaguzi
Papapapa CCM wanashangiliaSiku ina saa 48 kwa siku tunatakiwa tubadili barakoa kila baada ya saa 4 so tutabadili barakoa 12 tofauti! Au nasema uongo ndugu zangu?
Tofauti ni kubwaMheshimiwa Rais Magufuli leo ametangaza rasmi mchakato wa kulifuta jiji la Dar ambalo linatokana na manispaa tano za mkoa wa Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni) ili kuunda jiji jipya (jiji la Ilala?) ambalo litatokana na manispaa moja tu ambayo ni ilala. Sababu kubwa aliyoitoa Rais Magufuli ni kuwa, muundo wa jiji la Dar uliopo sasa haustahili kuzijumuisha manispaa zote za mkoa wa Dar.
Sasa ukitazama jiji la Mwanza nalo linaundwa na manispaa mbili za Nyamagana na Ilemela. Muundo ambao unashahabiana na jiji la Dar pia.
Nini tofauti za msingi kwenye muundo wa majiji hayo mawili?