Nini tofauti ya SSD, Cloud Storage & Virtual Storage?

Mpetde

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
3,955
Reaction score
6,546
Mkuu The bump

Tunaomba utoe ufafanuzi wa vifuatavyo

SSD ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?

Cloud storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?

Virtual storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?

Tunaomba maelezo yaliyojitosheleza maana nimefanya km ulivyonielekeza nifanye sasa ni kwa upande wako kuelezea hivyo vitu vitatu.

Cc: The bump
 
Kwa uelewa wangu mimi KENGE

SSD ni hardware ni kama Hard disc ila ukisikia SSD ujue inakuwa na kasi zaidi yani SSD ungefananisha na HDD..kama ni mtu wa gaming,programming unashauriwa kutumia SSD over HDD coz of high speed.ukitaka kuelewa kwanini inakasi hapo sasa tutarudi shule kwenye mambo ya binary number 0.1 ambapo tutakesha So kifupi SSD ni internal disc storage kama ilivyo HDD na kuna External storage kama External disc,Flash disc,Memory card,CD hizi ni external..hapa tupo pamoja

CLoud storage!!
Hapa ni storage ya Mtandaoni.Umuhimu wa hii storage ni kwamba Pindi utakapopoteza au kuharibu kifaa chako kama ulikuwa na Account kwenye site yoyote ya cloud storage utaweza kurudisha file zako vizuri tu(backup na restore).Zipo cloud store za kulipia na za bure.So hii ni storage ya mtandaoni(Interner) huwezi kuishika physically.mfano ni Mega,Filezilla,Google cloud na nyingine nyingi.

Virtual storage
Not too familiar to this type, but nayo haitofautiana sana na Cloud storage..Hii nayo unaomba Space(GB) kwa mtoa huduma hiyo.Utaweka mafile yako..Hii wataelewa zaidi watu wa programming.Ukiwa na website unataka upload ili iwe on air..itabidi ununue nafasi kwa Host(Server)..huyu host atakupa limit kutokana na pesa yako lets say una $1 atakupa Gb 1 ya kuweka file zako za website.Ukiwa na $100 atakupa 1TB n.k

Natumaini umeelewa!
 
KENGE 01 kama KENGE 01 kwenye ubora wake.

Hongera KENGE 01
 
Mkuu The bump

Tunaomba utoe ufafanuzi wa vifuatavyo

SSD ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?

Cloud storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?

Virtual storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?

Tunaomba maelezo yaliyojitosheleza maana nimefanya km ulivyonielekeza nifanye sasa ni kwa upande wako kuelezea hivyo vitu vitatu.

Cc: The bump
Mkuu acha uvivu.
 
Kwa uelewa wangu mimi KENGE

SSD ni hardware ni kama Hard disc ila ukisikia SSD ujue inakuwa na kasi zaidi yani SSD ungefananisha na HDD..kama ni mtu wa gaming,programming unashauriwa kutumia SSD over HDD coz of high speed.ukitaka kuelewa kwanini inakasi hapo sasa tutarudi shule kwenye mambo ya binary number 0.1 ambapo tutakesha So kifupi SSD ni internal disc storage kama ilivyo HDD na kuna External storage kama External disc,Flash disc,Memory card,CD hizi ni external..hapa tupo pamoja

CLoud storage!!
Hapa ni storage ya Mtandaoni.Umuhimu wa hii storage ni kwamba Pindi utakapopoteza au kuharibu kifaa chako kama ulikuwa na Account kwenye site yoyote ya cloud storage utaweza kurudisha file zako vizuri tu(backup na restore).Zipo cloud store za kulipia na za bure.So hii ni storage ya mtandaoni(Interner) huwezi kuishika physically.mfano ni Mega,Filezilla,Google cloud na nyingine nyingi.

Virtual storage
Not too familiar to this type, but nayo haitofautiana sana na Cloud storage..Hii nayo unaomba Space(GB) kwa mtoa huduma hiyo.Utaweka mafile yako..Hii wataelewa zaidi watu wa programming.Ukiwa na website unataka upload ili iwe on air..itabidi ununue nafasi kwa Host(Server)..huyu host atakupa limit kutokana na pesa yako lets say una $1 atakupa Gb 1 ya kuweka file zako za website.Ukiwa na $100 atakupa 1TB n.k

Natumaini umeelewa!
Nimekuelewa Ila bado The bump kaniambia nifungue Uzi ateme Madini alafu kaingia mitini
Huu sio wakati wake, Kuna nyuzi nyingi zimeongelea hayo mambo zipo humu.

Huu sio uzi kwa ajili ya hayo maswali mkuu, Fungua UZI kisha uliza tutakuja wote tunaojua tutakuelekeza.

Ukisema faida ya wote maana yake "wengi wajue" ili iwe hivyo basi ufungue UZI kisha katika UZI wako uni TAG nikija ntakupa info kwa faida ya wote lakini si Hapa.

Hapo kwenye virtual storage kuna maelezo hayajajitosheleza umenivuruga
 
SSD in kifaa cha kutunzia taarifa kwenye computer kinachotumia muundo kama flash memory ukilinganisha na HDD ambayo inatumia disk katika kutunza taarifa
Faida za SSD
1.Hina kasi katika kusoma na kuandika taarifa ukilinganisha na HDD , ndo maana computer ya SSD uwaka mapema kuliko yenye HDD.
2.Ni nyepesi kwenye kwenye kubeba pia ina chukua sehemu ndogo ya computer.
Hasara za SSD.
1.Ni gharama ukilinganisha na HDD

Coud Storage nena cloud kwanye IT umaanisha internet kwaiyo cloud storage ni muundo wa kutunza taarifa kwenye mtandao yan internet mfano mzuri taarifa za Gmail zinatunzwa kwenye mtandao ndo maana unaweza kuzipata sehemu yoyote na kwa kutumia kifaa chochote chenye internet cha msingi ukumbuke password na username.
 
Virtual storage ni muundo wa kugawanga storage katika makundi mbalimbali lakini ki ualisia iyo storage no moja mfano partition ya HDD katika computer ila kutoa dick C , disk D , disk E lakini kwenye computer kuna physical disk moja tu , kwaiyo izo C,D,E ndo virtual storage.
 
Asante mkuu umeeleza Ila bado ongezea maelezo kidogo hiki kitendawili kigumu sijui nani wa kukitegua
 
Virtual storage ni muundo wa kugawanga storage katika makundi mbalimbali lakini ki ualisia iyo storage no moja mfano partition ya HDD katika computer ila kutoa dick C , disk D , disk E lakini kwenye computer kuna physical disk moja tu , kwaiyo izo C,D,E ndo virtual storage.
Hapa kidooogo nimeelewa Ila bado unarudi pale pale kwenye HDD maana ukizungumzia Virtual Storage HDD haihusiki namaanisha Virtual Storage sio HDD
 
Virtual ni kitu ambacho kiuhalisia hakipo lakini kupitia software kimefanya kionekane ni kama stimulation game . Kwaiy kuhualisia computer ina HDD moja lakini software imeweza kufanya zionekane ni C,D,E kwaiyo izo ndo virtual storage wakiti HDD ni physical storage.
 
SSD yangu inagoma kufanya kazi kwenye Tv, pia nikiunganisha kwenye simu inanitaka kui-format kila muda nitakapoiweka kwenye simu

IMG_20231109225711066.jpg
 
Tofauti nayoweza kukupa ya haraka kati ya zote hizi ni data access

SSD(Solid State Drive) data ziko accessed locally maana host ni wewe kwenye kifaa chako,in this case,your computer wakati cloud storage ni kwamba data zako ziko hosted somewhere depending on your host server location,kwahiyo ku-access data zako lazima uwe part of that network(being directly or indirectly) maana you need to be connected ,kumalizia virtual storage data zinakuwa shared across a given network kwahiyo inabidi uwe part pia(maana ni combination of multiple storage stations that are brought together to form a network)
Just kwa kifupi tu
 
Unaweza ukawa upo sahihi Ila maelezo yako ulivyoyaweka inaniwia vigumu kuelewa emu ongezea nyama mkuu fafanua tena
 
Dah ht sijaelewa chcht 😂
 
Unaweza ukawa upo sahihi Ila maelezo yako ulivyoyaweka inaniwia vigumu kuelewa emu ongezea nyama mkuu fafanua tena
Kiongozi hapa nashindwa nieleze vipi hili nieleweke maana kazi ngumu kweli lakini ngoja nifanye kwa namna nyepesi

Nimesema tofauti ya hizi tatu ni namna gani unaweza kuhifadhi data zako,kuzi-retrieve/download n.k

SSD ni device ambayo inatumika kuhifadhi data zako katika computer yako.Hizi data wewe utaweza kuzipata bila hata kuwa connected na wewe ndio mwenye admin rights zote kwahiyo una option kama deleting,editing and other data modification functions tofauti na clouding au virtualization.

Cloud storage ni kwamba kwa sababu labda una space ndogo kwenye kifaa chako unaweza ku-opt kuhifadhi data online(si lazima kwamba space ndogo ndio sababu pekee,hapana).Hii inakuwa hivi data zako zitakuwa hosted online na wewe itakubidi kuwa na vitu kama account kulingana na matakwa ya host wako,mfano google drive n.k.Account ndio inakuwa kama utambulisho wako katika network kwahiyo utaweza kutumia taarifa za account yako kuingia kwenye server za host wako na kudownload,kuview na kufanya ambayo yeye host atakuruhusu kufanya ukiwa mahali popote.

Virtual storage ni storage devices ambazo zinakuwa brought together na kuform network,ku-access data zako hapa pia itakubidi uwe part of that network nadhani kwa kifupi sana sijui kama nimeeleza vizuri
 
Back
Top Bottom