1. Najua unawasikia. Hawa jamaa wakiingia mashambani kununua mazao, watanzania wengi huacha kununua maana wakenya hupandisha bei ya mazao ambapo mtanzania uona kwake ni hasara.Wakenya Wametuzidi makomwe
1. Mtoa mada ameitaja na mimi nimetetea hojaKuwepo kwa benk nzuri hazimsaidii mtanzania kujiinua kwenye kipato.
Mkenya anaweza kutengeneza application ya simu akauza dunia nzima kupitia paypal
Ingia Youtube, wakenya wametengeneza playlist za nyimbo na mwishoni wameweka, buy me a cofeee. Kaweka email inayopokea pesa kutoka paypal
Kiufupi wakenya wametuzidi kiuchumi kwenye suala la mtu mmoja mmoja. Mkenya anaposimama kununua bidhaa, mtanzania hagusi
Huna akili wewe zoba , Tanzania unajua ina idadi ngapi ya jobless ? ,you motherfuckers makes me sick ,hii nchi ambayo hata ajira ya kutembeza vyombo ukitangaza leo mamilioni yanajaa uwanja wa taifa , pumbavu.Mimi nadhani pia na idadi ya majobless wametuzidi
Mpumbavu huna akili , umeshawahi kuona kinachoendelea kwenye hizi takataka zenu mnazoita mwendokasi ,wewe taahira ?even with the pics you sent bado its 100% better, infact sku izi its azam
Bank gani inafanya vizuri hapa Bongo kuzidi benki za kenya ,Bongo kuna benki au takataka kabisa hapa ,ni takataka gani ya Bongo hapa ina branch Kenya ? , hizi takataka hizi zenye vibaka wanaodokoa pesa za accounts za watu na huduma mbovu ndio unaita benki , you can't be serious .ulishawahi kupata huduma Equity au KCB wewe ?Media Hapana,
Mfano kwenye TV provider wakubwa wa TV Kenya ni Dstv, Azam, Gotv, startimes na Zuku. Ukitoa wa South Hapo na mchina unabaki na Azam na Zuku ambazo zote zinamilikiwa na Watanzania kwa kiasi fulani ama chote.
Pia ukiangalia content quality ya Azam na startimes hasa ku localise media ni mbingu na Ardhi vs za Kenya. Media zetu zipo next level.
Same kwa Media nyengine kama Magazeti na Vifananiavyo.
Watu kama Ali Mufuruki, Rostam Aziz etc wame husika sana kuanzisha media za Kenya na kuzimiliki.
Bank pia angalia vizuri madesa yako, benki nyingi za kenya Ni za nje, benki kubwa Kenya ni KCB, Equity, Absa, NCBA, Standard charter, Stanbic etc
KCB peke yao ndio watajivunia, yes ni benki kubwa kushinda za Tanzania ila ipo Yenyewe tu.
Tanzania tuna Nmb, Crdb, NBC ambazo ni Top 3 na kwenye Top 5 kuna Benki ya nje moja tu Exim,
So ukiangalia Overall Benki zetu zinafanya vizuri zaidi.
Na hili pia lina reflect mambo mengi baina ya Tanzania na Kenya, Tanzania vitu vingi ni vya Watanzania, zipo investment za Nje ila watanzania wanamiliki zaidi kuanzia mitandao ya simu, Media, Benki na Vinginevyo, ila wakenya wengi wanafanana na wewe wao ni fahari kwao kumpa mzungu ama mtu wa nje akombe rasilimali zote.
Minimum wage laki 5? Kwa Tanzania gani labda kwa kufikiria kwa kutumia makalio.1. Mtoa mada ameitaja na mimi nimetetea hoja
2. Ni ujinga tu kusema haimsaidii Mtanzania wakati Nmb ni kampuni namba mbili baada ya TBL kuchangia pato la Taifa.
Hapo kenya minimum wage laki 3, Tanzania Minimum wage laki 5, Living cost Tanzania ni rahisi kuliko Kenya unahisi kwanini at same position Mtanzania Analipwa mishahara mzuri zaidi?
Bank gani inafanya vizuri hapa Bongo kuzidi benki za kenya ,Bongo kuna benki au takataka kabisa hapa ,ni takataka gani ya Bongo hapa ina branch Kenya ? , hizi takataka hizi zenye vibaka wanaokosoa pesa za accounts za watu ndio unaitwa benki , you can't be serious .Media Hapana,
Mfano kwenye TV provider wakubwa wa TV Kenya ni Dstv, Azam, Gotv, startimes na Zuku. Ukitoa wa South Hapo na mchina unabaki na Azam na Zuku ambazo zote zinamilikiwa na Watanzania kwa kiasi fulani ama chote.
Pia ukiangalia content quality ya Azam na startimes hasa ku localise media ni mbingu na Ardhi vs za Kenya. Media zetu zipo next level.
Same kwa Media nyengine kama Magazeti na Vifananiavyo.
Watu kama Ali Mufuruki, Rostam Aziz etc wame husika sana kuanzisha media za Kenya na kuzimiliki.
Bank pia angalia vizuri madesa yako, benki nyingi za kenya Ni za nje, benki kubwa Kenya ni KCB, Equity, Absa, NCBA, Standard charter, Stanbic etc
KCB peke yao ndio watajivunia, yes ni benki kubwa kushinda za Tanzania ila ipo Yenyewe tu.
Tanzania tuna Nmb, Crdb, NBC ambazo ni Top 3 na kwenye Top 5 kuna Benki ya nje moja tu Exim,
So ukiangalia Overall Benki zetu zinafanya vizuri zaidi.
Na hili pia lina reflect mambo mengi baina ya Tanzania na Kenya, Tanzania vitu vingi ni vya Watanzania, zipo investment za Nje ila watanzania wanamiliki zaidi kuanzia mitandao ya simu, Media, Benki na Vinginevyo, ila wakenya wengi wanafanana na wewe wao ni fahari kwao kumpa mzungu ama mtu wa nje akombe rasilimali zote.
Majitu yanaongeza upuuzi tu humu as if yanaishia Tanzania ya Mars ambayo hatuijui sisi , Watanzania ni waseng£ sana , zero brainsMinimum wage laki 5? Kwa Tanzania gani labda kwa kufikiria kwa kutumia makalio.
Benki zote Tanzania zinamsaidia nini mtanzania kujikwamua kiuchumi? Weka laki 5 kwenye hizo benk halafu kaa mwaka mmoja uone kama utaikuta laki 5.
Ushakutana na wakenya wananunua mazao mashambani?
Hapa tanzania kuna viwanda unaingia saa 1:30 asubuhi na unatoka 1:30 usiku kwa siku unalipwa 6,000 mpaka 7,000. Hapo mchele kilo 1@ 2500, sukari 3000, sabuni 600, unga dona kilo 1@ 1400, sabuni ya kuogea 700, bando la internet 1GB 2100, fee ya umeme wa Tanesco 3,000 kila mwezi na bado REA na Ewura wanakata hela
even with mwendokasi added bado likon is worseMpumbavu huna akili , umeshawahi kuona kinachoendelea kwenye hizi takataka zenu mnazoita mwendokasi ,wewe taahira ?
hio ni treni? unaongelea 2 different thingsBado wako vizuri sana, ferry zao ni kubwa sana na zinaweza kubeba nyomi lote...
Na uzuri zinapishana ferry za kutosha, sio mpaka baresa ajitolee
Tembea dunia uone dunia,
usafiri wa treni Japan msongamano unaojulikana duniani, cha muhimu treni zipo za kutosha
View attachment 3349293
View attachment 3349292
reminds me of kibera and pipeline without forgeting mathare, btw do you kibera is the 2nd largest slum in the milky way galaxyMpumbavu huna akili , umeshawahi kuona kinachoendelea kwenye hizi takataka zenu mnazoita mwendokasi ,wewe taahira ?
katika maisha yako tenga hela uende kenya, ukiwaskiliza kwa mtandaoni mbna kenya utaiona londonKuwepo kwa benk nzuri hazimsaidii mtanzania kujiinua kwenye kipato.
Mkenya anaweza kutengeneza application ya simu akauza dunia nzima kupitia paypal
Ingia Youtube, wakenya wametengeneza playlist za nyimbo na mwishoni wameweka, buy me a coffee. Kaweka email inayopokea pesa kutoka paypal
Kiufupi wakenya wametuzidi kiuchumi kwenye suala la mtu mmoja mmoja. Mkenya anaposimama kununua bidhaa, mtanzania hagusi
aisee kwan paypal ndo inapokea pesa peke yake hujawahi ona worl remit ama NALA?1. Najua unawasikia. Hawa jamaa wakiingia mashambani kununua mazao, watanzania wengi huacha kununua maana wakenya hupandisha bei ya mazao ambapo mtanzania uona kwake ni hasara.
2. Nchi yao inaruhusu kupokea pesa kutoka paypal. Mkenya anaweza kutengeneza kitu akaweka mtandaoni na akauza kwa dunia nzima. Tanzania payment methods zinasumbua sana. Kama wewe ni mtu wa kusoma umbeya huwezi kuelewa hili. Kuna makampuni ukifanya nao kazi wanataka wakulipe kwa paypal. Kuna vidola vyangu kama USD 50 vimekwama. Njia ni paypal
si uwe ata na shukrani tumewapa chance AFCON,Huna akili wewe zoba , Tanzania unajua ina idadi ngapi ya jobless ? ,you motherfuckers makes me sick ,hii nchi ambayo hata ajira ya kutembeza vyombo ukitangaza leo mamilioni yanajaa uwanja wa taifa , pumbavu.
Watanzania hamna akili , taifa la wapuuzi na makondoo yanayoburuzwa na ndio effects za yanayoendelea leo
kwan benki gan ya kenya ishawahi kuturn profit inaorun tz?Bank gani inafanya vizuri hapa Bongo kuzidi benki za kenya ,Bongo kuna benki au takataka kabisa hapa ,ni takataka gani ya Bongo hapa ina branch Kenya ? , hizi takataka hizi zenye vibaka wanaokosoa pesa za accounts za watu ndio unaitwa benki , you can't be serious .
Majitu yanaongeza upuuzi tu humu as if yanaishia Tanzania ya Mars ambayo hatuijui sisi , Watanzania ni waseng£ sana , zero brains
aisee kwan paypal ndo inapokea pesa peke yake hujawahi ona worl remit ama NALA?
Mfano. Unaweza kuuza software mtandaoni na ukapokea pesa zako bila kuongea na mteja. Mtu analipa na anapakua software yake bila kuwasiliana developer. Paypal inafanya hivyoaisee kwan paypal ndo inapokea pesa peke yake hujawahi ona worl remit ama NALA?
yes NALA wana APIMfano. Unaweza kuuza software mtandaoni na ukapokea pesa zako bila kuongea na mteja. Mtu analipa na anapakua software yake bila kuwasiliana developer. Paypal inafanya hivyo
World remitly au Nala ina huduma hiyo?
umekalia sana paypal as if ndo the only option dunia nzima Rafiki Payments - by NALAMfano. Unaweza kuuza software mtandaoni na ukapokea pesa zako bila kuongea na mteja. Mtu analipa na anapakua software yake bila kuwasiliana developer. Paypal inafanya hivyo
World remitly au Nala ina huduma hiyo?
Dar es salaam asilimia 70 ni slum ,wtf are you even talking about ? , uchafu mtupu ,open sewers everywhere ,chaos and poor infrastructure + poverty .reminds me of kibera and pipeline without forgeting mathare, btw do you kibera is the 2nd largest slum in the milky way galaxy