benki zote za kenya zilizopo tz ni benki ndogo sio competitive, na hazijawahi kutangaza faida equity ya tz ilishanunuliwa na tzMoja, Landscape ya media Tanzania na Kenya ni mbingu na ardhi. Ukiangalia TV Stations za Kenya ni kama unaangalia CNN, Al Jazeera au BBC kuanzia ubora teknolojia, vifaa, watangazaji, content na uhuru.
Mbili, Hakuna benki Africa Mashariki za kuzikaribia KCB na Equity Bank.
Tatu, wageni kuanzisha Bank au media hawakombi rasilimali zozote. Wageni kupewa bandari, madini, gas na mapori ndio kukomba rasilimali.
PS: Nimeamua kupuuza mjadala wa nani anamiliki hizo media na Bank zilizopo Kenya au Tanzania kwa sababu hauna mashiko yoyote
Sijaenda mbali pia kuongelea huo mpira kwa mfano tunaosema tumewazidi hatujawahi kushinda taji lolote la maana hata la Africa wakati wao kwenye mbio/riadha kila mwaka wanashinda medali za dhahabu za kidunia na Top five katika mbio kidunia.
Sijataka kuzungumzia kwamba wakati sisi Kingereza kinatupiga chenga sana wao wanaongea Kingereza na Kiswahili vizuri kabisa cha kueleweka popote Tanzania..
Sijataka kuzungumzia kwamba katika huo muziki ukimuondoa Diamond tu wanaweza kuwa wametuzidi mbali.
kila mtu anajua uchumi wa kenya ni wa makaratasi, mfano IMF walishatoa report kwamba pesa ya kenya iko 30% overvaluedNa hatujaizidi Africa Kusina kwa uchumi pamoja na slums zake zote
bro ushawahi kwenda kenya?Tanzania ukitangaza Ajira ya Mshahara wa laki 3 Uwanja wa Taifa una jaa.
unajua uchumi wa tanzania at one point ulikua mkubwa kuliko wote east afrika?Mkuu bila Magufuli kujenga miundominu ya Usafiri kama Treni na Barabara yani Wakenya wangetutukana na tungekua Wanyonge sana, Maana bila Magufuli mpaka leo tunge baki na Barabara mbovu na ndege hazipo. Flyover hakuna yani ingekuwa uzuni, ndiyo Maana matusi yote kutoka Kenya ni Elimu mbovu ya Wabunge tu.
Hapo kwemye viongozi sina uhakika, ninafanya biashara kenya. Swala la ufisadi kwa viongozi wao ni jambo la kawaida sana sema wananchi wao ndo wanajielewa ila sio viongozi wao.12. Viongozi wanaojielewa wakenya wametupiga gape kubwa sana upande wa viongozi
13. Tunafanana wote ni kenge siye kenge wa ndani wao kenge wa nje
according kwenye research inaonekana wananchi ndo hawajielewi zaidi, asilimia 60% ya waajiri wamesema hawawezi kuajiri genzHapo kwemye viongozi sina uhakika, ninafanya biashara kenya. Swala la ufisadi kwa viongozi wao ni jambo la kawaida sana sema wananchi wao ndo wanajielewa ila sio viongozi wao.
Kingine wanachotuzidi ni technolojia na ubunifu wako vizuri sana.Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi.
Watanzania tunayowazidi wakenya
1. Muziki
2. Mpira
3. Kiswahili
4. Bidhaa za kilimo
5. Madini
Wakenya wanayotuzidi Watanzania
1. Ukubwa wa uchumi(GDP)
2. Demokrasia
3. Elimu
4. Kingereza
5. Mbio(Athletics)
6. Vyombo vya habari(Media)
7. Benki
8. Sekta ya usafiri ya anga.
9. Sekta ya Mawasiliano(simu na IT)
10. Majiji.
11. Diaspora
Tunaweza kuwa maskini lakin tunazidiana uwezo. Wakenya wameamka na wanatambea sisi brain yetu bado imelala...tuache siasa jamaa wametuzidi. Ndio maana PK alisema akikabidhiwa bandari tu basi nchi itakua tajiri kwasasa anajua watanzania ni wajinga na viongozi wao ni mazwazwaWote ni masikini waafrika wajinga.
Kutambiana upumbavu tu wakati dunia ina kimbia.
Naweza kubaliana na wewe kwa swala la kujielewa pengine kitu wanatuzidi ni ile umoja wao kitu kubachowapa faida wachache wnaojielewa na kuwatumia wengi wasiojielewa.according kwenye research inaonekana wananchi ndo hawajielewi zaidi, asilimia 60% ya waajiri wamesema hawawezi kuajiri genz
Kuna tatizo gani pesa kuwa overvalued?kila mtu anajua uchumi wa kenya ni wa makaratasi, mfano IMF walishatoa report kwamba pesa ya kenya iko 30% overvalued
![]()
Kenyan shilling has been overvalued for several years, says central bank chief
Kenya's central bank chief has said that the country's currency, currently trading at record lows, has been overvalued for several years.www.thecitizen.co.tz
Namaanisha ukiishi Tanzania afu ukaishi Kenya hutatamani uweke maisha yako ya kudumu Kenya labda kama unalazimika kulingana na kazi au biashara ila sio kwa machaguo.
maaana yake exchange rate haiko sahihi, exchange rates znaengenezwa manually but depending na kiasi cha reserve ulicho nacho ila yao haijazingatia kigezo icho wameamua tuKuna tatizo gani pesa kuwa overvalued?
Exchange rate isipokuwa sahihi inakuwa na shida gani katika uchumi wa nchi?maaana yake exchange rate haiko sahihi, exchange rates znaengenezwa manually but depending na kiasi cha reserve ulicho nacho ila yao haijazingatia kigezo icho wameamua tu
sasa kenya wana EXTREEME poverty
si ndo hio wanakuja kuringia ukuExchange rate isipokuwa sahihi inakuwa na shida gani katika uchumi wa nchi?