stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
tech gan nzuri wanayo sasa?Kingine wanachotuzidi ni technolojia na ubunifu wako vizuri sana.
Ingawa wana uchumi mkubwa, lakini kimaisha binafsi wana maisha ya ovyo kulinganisha na Tanzania.
tech gan nzuri wanayo sasa?Kingine wanachotuzidi ni technolojia na ubunifu wako vizuri sana.
Ingawa wana uchumi mkubwa, lakini kimaisha binafsi wana maisha ya ovyo kulinganisha na Tanzania.
ushawahi kwenda kenya?Tunaweza kuwa maskini lakin tunazidiana uwezo. Wakenya wameamka na wanatambea sisi brain yetu bado imelala...tuache siasa jamaa wametuzidi. Ndio maana PK alisema akikabidhiwa bandari tu basi nchi itakua tajiri kwasasa anajua watanzania ni wajinga na viongozi wao ni mazwazwa
vurugu sio kujielewa, hata marekani na ukubwa wake wote ila kwenye swala la vurugu ama vita hawako tayar kuchafua nchi yao, likewise putin anapigana nje ya nchi yakeNaweza kubaliana na wewe kwa swala la kujielewa pengine kitu wanatuzidi ni ile umoja wao kitu kubachowapa faida wachache wnaojielewa na kuwatumia wengi wasiojielewa.
nkikutumia documetary apa ya maisha ya kenya utashukuru mara 1000 kuishi bongo, we arent perfect ila kwa kenya mzee pale jehanamNamaanisha ukiishi Tanzania afu ukaishi Kenya hutatamani uweke maisha yako ya kudumu Kenya labda kama unalazimika kulingana na kazi au biashara ila sio kwa machaguo.
Technolojia inawanufaisha vilivyo huwezi linganisha Tz na Kenya kwa swala la technolojia.tech gan nzuri wanayo sasa?
If we make you sick, why don't die so that you can rest forever?! Eeiiishhh!!Huna akili wewe zoba , Tanzania unajua ina idadi ngapi ya jobless ? ,you motherfuckers makes me sick ,hii nchi ambayo hata ajira ya kutembeza vyombo ukitangaza leo mamilioni yanajaa uwanja wa taifa , pumbavu.
Watanzania hamna akili , taifa la wapuuzi na makondoo yanayoburuzwa na ndio effects za yanayoendelea leo
Maisha ya Tz huwezi linganisha na nchi yoyote ile Africa mashariki sema tu wachache wanaanza kuipeleka kubaya. Bongo ni pazuri sana sema ndo ivyo.nkikutumia documetary apa ya maisha ya kenya utashukuru mara 1000 kuishi bongo, we arent perfect ila kwa kenya mzee pale jehanam
not to make fun but mna hali mbaya saaana! yaani stage mlipo ni kuhurumiwaFurahi sasa nchi yako ni bora kuliko South Africa, India na Mexico zilizo G20.
ukitaka tutumie statistics basi huyu ndo world most poorest person:
walichozidi ni nnKuna kitu kikubwa wakenya wametuzidi sisi watz. Ukisoma vizuri majibu ya yule mbunge wa Kenya alivyowajibu wabunge wa Tz basi basi utakigundua.
as we said we have our own problems but kwa nyie aisee poverty mlionayo ni specialFurahi sasa nchi yako ni bora kuliko South Africa, India na Mexico zilizo G20.