Media Hapana,
Mfano kwenye TV provider wakubwa wa TV Kenya ni Dstv, Azam, Gotv, startimes na Zuku. Ukitoa wa South Hapo na mchina unabaki na Azam na Zuku ambazo zote zinamilikiwa na Watanzania kwa kiasi fulani ama chote.
Pia ukiangalia content quality ya Azam na startimes hasa ku localise media ni mbingu na Ardhi vs za Kenya. Media zetu zipo next level.
Same kwa Media nyengine kama Magazeti na Vifananiavyo.
Watu kama Ali Mufuruki, Rostam Aziz etc wame husika sana kuanzisha media za Kenya na kuzimiliki.
Bank pia angalia vizuri madesa yako, benki nyingi za kenya Ni za nje, benki kubwa Kenya ni KCB, Equity, Absa, NCBA, Standard charter, Stanbic etc
KCB peke yao ndio watajivunia, yes ni benki kubwa kushinda za Tanzania ila ipo Yenyewe tu.
Tanzania tuna Nmb, Crdb, NBC ambazo ni Top 3 na kwenye Top 5 kuna Benki ya nje moja tu Exim,
So ukiangalia Overall Benki zetu zinafanya vizuri zaidi.
Na hili pia lina reflect mambo mengi baina ya Tanzania na Kenya, Tanzania vitu vingi ni vya Watanzania, zipo investment za Nje ila watanzania wanamiliki zaidi kuanzia mitandao ya simu, Media, Benki na Vinginevyo, ila wakenya wengi wanafanana na wewe wao ni fahari kwao kumpa mzungu ama mtu wa nje akombe rasilimali zote.