Nini tumezidiana Wakenya na Watanzania?

Nini tumezidiana Wakenya na Watanzania?

Moja, Landscape ya media Tanzania na Kenya ni mbingu na ardhi. Ukiangalia TV Stations za Kenya ni kama unaangalia CNN, Al Jazeera au BBC kuanzia ubora teknolojia, vifaa, watangazaji, content na uhuru.
TV gani hio ya Kenya yenye ubora huo? Wasingekua wa naangalia TV za Nje. Tv nyingi za Kenya hata mfumo wa HD tu hazina. Ukiangalia quality ya picha haitofautiani na Chanell 10. Tanzania kwetu Content nyingi ni Either zetu ama zimekuwa localised, ligi yao tu ya Kenya ilibidi hadi Azam aende akai broadcast.
Mbili, Hakuna benki Africa Mashariki za kuzikaribia KCB na Equity Bank.
Nani anamiliki Equity? That's my Point, ukiangalia Benki za Tanzania Gawio linabaki hapa hapa Tanzania kwa kiasi kikubwa, Ila Equity shareholder mkubwa wa Kenya ana Asilimia 3 that's it, inamilikiwa Na kampuni za Norway, Standard chartered etc. So Kenya wata boast Asset kubwa ya Benki, ila kinacho baki Kenya ni Kidogo wakati kinachobaki Tanzania ni kikubwa.

Tatu, wageni kuanzisha Bank au media hawakombi rasilimali zozote. Wageni kupewa bandari, madini, gas na mapori ndio kukomba rasilimali.
Kuna mapato ya aina mbili unapata
1. Kodi
2. Gawio
Muwekezaji akitoka nje ina maana gawio anapata yeye, atakupa kodi yako na kuondoka na Faida yake,

Benki za Tanzania zinatoa vyote viwili kodi na Gawio

Huu uzi hapa ulikua unaonesha Gawio linaloenda kwa Serikali
PS: Nimeamua kupuuza mjadala wa nani anamiliki hizo media na Bank zilizopo Kenya au Tanzania kwa sababu hauna mashiko yoyote
Ila vice versa ingekua true na Azam inamilikiwa Na Kenya ama Citizen ingeanzishwa na Mkenya na imefanikiwa Tanzania usingesita kupoint hilo.
Sijaenda mbali pia kuongelea huo mpira kwa mfano tunaosema tumewazidi hatujawahi kushinda taji lolote la maana hata la Africa wakati wao kwenye mbio/riadha kila mwaka wanashinda medali za dhahabu za kidunia na wako Top five katika mbio kidunia.
Tunaongelea media, issue ya mpira Tunaongelea broadcast sio kuucheza mpira, tofautisha hapo.
Sijataka kuzungumzia kwamba wakati sisi Kingereza kinatupiga chenga sana wao wanaongea Kingereza na Kiswahili vizuri kabisa cha kueleweka popote Tanzania..

Sijataka kuzungumzia kwamba katika huo muziki ukimuondoa Diamond tu wanaweza kuwa wametuzidi mbali.
Sijaongelea popote kwenye muziki na Sijaongelea popote Kingereza ila kama unataka tuzungumzie Muziki pia nipo tayari
 
Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi.

Watanzania tunayowazidi wakenya
1. Muziki
2. Mpira
3. Kiswahili
4. Bidhaa za kilimo
5. Madini

Wakenya wanayotuzidi Watanzania
1. Ukubwa wa uchumi(GDP)
2. Demokrasia
3. Elimu
4. Kingereza
5. Mbio(Athletics)
6. Vyombo vya habari(Media)
7. Benki
8. Sekta ya usafiri ya anga.
9. Sekta ya Mawasiliano(simu na IT)
O mi kubwa tunalowadi wakenya:


. Majiji.
11. Diaspora
12.Uhuru wa imani
13. Sekta ya MMUmesahau ja

Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi.

Watanzania tunayowazidi wakenya
1. Muziki
2. Mpira
3. Kiswahili
4. Bidhaa za kilimo
5. Madini

Wakenya wanayotuzidi Watanzania
1. Ukubwa wa uchumi(GDP)
2. Demokrasia
3. Elimu
4. Kingereza
5. Mbio(Athletics)
6. Vyombo vya habari(Media)
7. Benki
8. Sekta ya usafiri ya anga.
9. Sekta ya Mawasiliano(simu na IT)
10. Majiji.
11. Diaspora
12.Uhuru wa imani
13. Sekta ya filamu(movies)
14. Comedy
Umesahau jambo moja ambalo Watanzania tumawazidi kwa mbali sana, maradufu, wakenya:

6. Idadi kubwa ya wabunge wajinga na wanafiki.
 
Minimum wage laki 5? Kwa Tanzania gani labda kwa kufikiria kwa kutumia makalio.
Benki zote Tanzania zinamsaidia nini mtanzania kujikwamua kiuchumi? Weka laki 5 kwenye hizo benk halafu kaa mwaka mmoja uone kama utaikuta laki 5.
Ushakutana na wakenya wananunua mazao mashambani?
Hapa tanzania kuna viwanda unaingia saa 1:30 asubuhi na unatoka 1:30 usiku kwa siku unalipwa 6,000 mpaka 7,000. Hapo mchele kilo 1@ 2500, sukari 3000, sabuni 600, unga dona kilo 1@ 1400, sabuni ya kuogea 700, bando la internet 1GB 2100, fee ya umeme wa Tanesco 3,000 kila mwezi na bado REA na Ewura wanakata hela
Tanzania hii hii, unaishi Tanzania ila hujui minimum wage serikalini imepanda hadi laki 5,

Viwanda vinalipa hela ndogo kote, na hao ni vibarua Kenya Minimum wage viwandani ni ksh 300 kwa siku. So usifkiri Tanzania wakilipwa 6000 ama 7000 basi Kenya wanalipwa zaidi.
 
Wakenya wameanza kuamka kabla yetu sisi,kuanzia kuwa na vitu nk
Hiyo zamani yenyewe mtanzania akitaka kurekodi mziki lazima aende kenya
miaka ya 90s tu wabongo wengi walikuwa wanafuata bidhaa za supermarket kuja kuuza huku
Maana tz ilikuwa hakuna

Ova
 
Ila mwisho wa siku hizi nchi zote 3 kila nchi inanufaika na mwenzake kuanzia kibiashara nk

ova
 
Kwenye gdp gap lipo ila sio kubwa kihivyo linakuzwa na kuongezeka thamani ya shilingi dhidi ya dollars, ni kama ilivyokua Ethiopia na gdp ya dollars 230b mwaka jana, lkn leo wana chini ya dola 130bn baada ya kufanya devaluation ya pesa yao dhidi ya dolla
 
Wote ni masikini waafrika wajinga.

Kutambiana upumbavu tu wakati dunia ina kimbia.
Naunga mkono hoja, waafrika haswa ngozi nyeusi ni wajinga sana, badala ya kujitafakari na kuona wanawezaje kushirikiana ili kwa pamoja wawe vizuri kiuchumi, wamekalia kutukanana kama machizi kuringia vitu vya kijinga jinga tu. Imagine Kenya na Tanzania wakikaa wakashirikiana vizuri nina imani hizo nchi zingine za East africa zote zitakimbilia kwao. Ila huu ubongo wa ubinafsi wazungu wanaufahamu sana kwa ngozi nyeusi ndio maana kututawala hawakupata shida.
"Miafrika ndivyo ilivyo" Nyaningabu.
 
Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi.

Watanzania tunayowazidi wakenya
1. Muziki
2. Mpira
3. Kiswahili
4. Bidhaa za kilimo
5. Madini

Wakenya wanayotuzidi Watanzania
1. Ukubwa wa uchumi(GDP)
2. Demokrasia
3. Elimu
4. Kingereza
5. Mbio(Athletics)
6. Vyombo vya habari(Media)
7. Benki
8. Sekta ya usafiri ya anga.
9. Sekta ya Mawasiliano(simu na IT)
10. Majiji.
11. Diaspora
12.Uhuru wa imani
13. Sekta ya filamu(movies)
14. Comedy
Poa wametuzdi ukabila na ubaguzi
 
Kwenye gdp gap lipo ila sio kubwa kihivyo linakuzwa na kuongezeka thamani ya shilingi dhidi ya dollars, ni kama ilivyokua Ethiopia na gdp ya dollars 230b mwaka jana, lkn leo wana chini ya dola 130bn baada ya kufanya devaluation ya pesa yao dhidi ya dolla
GDP ya Ethiiopia kwa mwaka 2024 iliku $120b.
 
Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi.

Watanzania tunayowazidi wakenya
1. Muziki
2. Mpira
3. Kiswahili
4. Bidhaa za kilimo
5. Madini

Wakenya wanayotuzidi Watanzania
1. Ukubwa wa uchumi(GDP)
2. Demokrasia
3. Elimu
4. Kingereza
5. Mbio(Athletics)
6. Vyombo vya habari(Media)
7. Benki
8. Sekta ya usafiri ya anga.
9. Sekta ya Mawasiliano(simu na IT)
10. Majiji.
11. Diaspora
12.Uhuru wa imani
13. Sekta ya filamu(movies)
14. Comedy
Kingeleza nacho ni kipimo cha kuzidiana kimaendeleo?
Kingereza na elimu ni vitu viwili tofauti?
Imagine mtu akwambie nakuzidi kuongea vizuri kiswahili.
Achana na ushamba wa wakenya wa kuongea kingereza kibovu kisichoeleweka.
Kingereza hakijawahi kuwa kipimo cha maendeleo maana ni lugha tu ya mawasiliano.
Elimu ndio kipimo cha maendeleo, hivyo kingereza kimo ktk eneo ila elimu kwa maana ya lugha ya kufundishia ila chenyewe hakiwezi kuwa elimu labda mtu awe mwalimu wa kingereza au mkalimani, mwandishi nk.
 
1. Mtoa mada ameitaja na mimi nimetetea hoja
2. Ni ujinga tu kusema haimsaidii Mtanzania wakati Nmb ni kampuni namba mbili baada ya TBL kuchangia pato la Taifa.

Hapo kenya minimum wage laki 3, Tanzania Minimum wage laki 5, Living cost Tanzania ni rahisi kuliko Kenya unahisi kwanini at same position Mtanzania Analipwa mishahara mzuri zaidi?
Minimal wages laki 5,?

Hapa Tz watu wengi mshahara haufiki hata laki 3.
 
Wakenya wametuzidi udalali labda!
Nitajie any invention ambazo ni pride of kenya. Kuhack mfumo au kuchoraa katuni kwa AI ndio umeelimika sana ?
Software gani zinazotambulika duniani zimezalishwa kenya ?
Vifaa gani vya engineering, medicine, electronics kampuni ni za wazawa wa kenya?
Wakenya ni sawa na waafrika wengine hawana teknolojia wala nini.
Wanaelimu ya ku provide services kwenye kampuni za wazungu, wachina nk.
Kikubwa sana ni wanunuzi wazuri wa mazao yetu na kuyasafiriisha nje wala sio ku process. Hawajui parachichi inazalisha nini ulaya wanajua kui park na kuisafirisha kama iliivyo.
Mtu kama mimi siwezi umiza kichwa na hao watu.
Mfano leo China iseme nakata mawasiliano na Tanzania, kweli tutaisoma namba sio wakenya. Tuheshimiane tu kama ndugu na majirani.
 
Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi.

Watanzania tunayowazidi wakenya
1. Muziki
2. Mpira
3. Kiswahili
4. Bidhaa za kilimo
5. Madini

Wakenya wanayotuzidi Watanzania
1. Ukubwa wa uchumi(GDP)
2. Demokrasia
3. Elimu
4. Kingereza
5. Mbio(Athletics)
6. Vyombo vya habari(Media)
7. Benki
8. Sekta ya usafiri ya anga.
9. Sekta ya Mawasiliano(simu na IT)
10. Majiji.
11. Diaspora
12.Uhuru wa imani
13. Sekta ya filamu(movies)
14. Comedy
Ingekuwa vyema ungetafuta mume huko ukaolewa ukahamia
 
Back
Top Bottom