Nini tumezidiana Wakenya na Watanzania?

Mkenya akiingia mashambani kununua mazao. Mtanzania hukimbia maana hupandisha bei ya mazao.
 
Wakenya Wametuzidi makomwe
1. Najua unawasikia. Hawa jamaa wakiingia mashambani kununua mazao, watanzania wengi huacha kununua maana wakenya hupandisha bei ya mazao ambapo mtanzania uona kwake ni hasara.
2. Nchi yao inaruhusu kupokea pesa kutoka paypal. Mkenya anaweza kutengeneza kitu akaweka mtandaoni na akauza kwa dunia nzima. Tanzania payment methods zinasumbua sana. Kama wewe ni mtu wa kusoma umbeya huwezi kuelewa hili. Kuna makampuni ukifanya nao kazi wanataka wakulipe kwa paypal. Kuna vidola vyangu kama USD 50 vimekwama. Njia ni paypal
 
1. Mtoa mada ameitaja na mimi nimetetea hoja
2. Ni ujinga tu kusema haimsaidii Mtanzania wakati Nmb ni kampuni namba mbili baada ya TBL kuchangia pato la Taifa.

Hapo kenya minimum wage laki 3, Tanzania Minimum wage laki 5, Living cost Tanzania ni rahisi kuliko Kenya unahisi kwanini at same position Mtanzania Analipwa mishahara mzuri zaidi?
 
Mimi nadhani pia na idadi ya majobless wametuzidi
Huna akili wewe zoba , Tanzania unajua ina idadi ngapi ya jobless ? ,you motherfuckers makes me sick ,hii nchi ambayo hata ajira ya kutembeza vyombo ukitangaza leo mamilioni yanajaa uwanja wa taifa , pumbavu.
Watanzania hamna akili , taifa la wapuuzi na makondoo yanayoburuzwa na ndio effects za yanayoendelea leo
 
Bank gani inafanya vizuri hapa Bongo kuzidi benki za kenya ,Bongo kuna benki au takataka kabisa hapa ,ni takataka gani ya Bongo hapa ina branch Kenya ? , hizi takataka hizi zenye vibaka wanaodokoa pesa za accounts za watu na huduma mbovu ndio unaita benki , you can't be serious .ulishawahi kupata huduma Equity au KCB wewe ?
I dare you hizi takataka zetu za nmb ,CRDB nk waende Kenya kufungua branch kama Equity au Kcb nk wacompete huone kama watamaliza hata siku .
 
Minimum wage laki 5? Kwa Tanzania gani labda kwa kufikiria kwa kutumia makalio.
Benki zote Tanzania zinamsaidia nini mtanzania kujikwamua kiuchumi? Weka laki 5 kwenye hizo benk halafu kaa mwaka mmoja uone kama utaikuta laki 5.
Ushakutana na wakenya wananunua mazao mashambani?
Hapa tanzania kuna viwanda unaingia saa 1:30 asubuhi na unatoka 1:30 usiku kwa siku unalipwa 6,000 mpaka 7,000. Hapo mchele kilo 1@ 2500, sukari 3000, sabuni 600, unga dona kilo 1@ 1400, sabuni ya kuogea 700, bando la internet 1GB 2100, fee ya umeme wa Tanesco 3,000 kila mwezi na bado REA na Ewura wanakata hela
 
Bank gani inafanya vizuri hapa Bongo kuzidi benki za kenya ,Bongo kuna benki au takataka kabisa hapa ,ni takataka gani ya Bongo hapa ina branch Kenya ? , hizi takataka hizi zenye vibaka wanaokosoa pesa za accounts za watu ndio unaitwa benki , you can't be serious .
Majitu yanaongeza upuuzi tu humu as if yanaishia Tanzania ya Mars ambayo hatuijui sisi , Watanzania ni waseng£ sana , zero brains
 
katika maisha yako tenga hela uende kenya, ukiwaskiliza kwa mtandaoni mbna kenya utaiona london

ila sass hmm... huezi amini ila watu mil 10 wanaishi ivi

 
aisee kwan paypal ndo inapokea pesa peke yake hujawahi ona worl remit ama NALA?
 
si uwe ata na shukrani tumewapa chance AFCON,
 
kwan benki gan ya kenya ishawahi kuturn profit inaorun tz?
 
aisee kwan paypal ndo inapokea pesa peke yake hujawahi ona worl remit ama NALA?
aisee kwan paypal ndo inapokea pesa peke yake hujawahi ona worl remit ama NALA?
Mfano. Unaweza kuuza software mtandaoni na ukapokea pesa zako bila kuongea na mteja. Mtu analipa na anapakua software yake bila kuwasiliana developer. Paypal inafanya hivyo
World remitly au Nala ina huduma hiyo?
 
reminds me of kibera and pipeline without forgeting mathare, btw do you kibera is the 2nd largest slum in the milky way galaxy
Dar es salaam asilimia 70 ni slum ,wtf are you even talking about ? , uchafu mtupu ,open sewers everywhere ,chaos and poor infrastructure + poverty .
Na hii ndio so called biggest city in Tanzania
Tandale ,Buguruni and the likes zina tofauti gani na kibera , informal settlements with poor sanitation and infrastructure zimejaa Dar , watu wanaishi kwenye mabanda ya kufugia kuku , how does that makes you better that Kibera dwellers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…