kushirikiana na kenya ni agenda ya kisiasa ya kutaka wakenya waje kununua ardhi uku kule kwao ardhi haimilikiwi na serikali, na pia wao wanafanya sana fujo its diferent na uko mtu anataka kufanya mambo yake akiwe chilled and relax, kuungana na kenya haiwezekan mpaka pale nguzo kuu za jumuiya afrika masharika wote tutazifikiaNaunga mkono hoja, waafrika haswa ngozi nyeusi ni wajinga sana, badala ya kujitafakari na kuona wanawezaje kushirikiana ili kwa pamoja wawe vizuri kiuchumi, wamekalia kutukanana kama machizi kuringia vitu vya kijinga jinga tu. Imagine Kenya na Tanzania wakikaa wakashirikiana vizuri nina imani hizo nchi zingine za East africa zote zitakimbilia kwao. Ila huu ubongo wa ubinafsi wazungu wanaufahamu sana kwa ngozi nyeusi ndio maana kututawala hawakupata shida.
"Miafrika ndivyo ilivyo" Nyaningabu.
Nani unayemfahamu wa Kenya aliyewahi kutekwa na kuuwawa?
Kwenye minimum wage kuna kuna level mbalimbali, hapo naongelea wafanyakazi wa serikalini kote Tanzania na Kenya (ambao ndio wengi zaidi) waalimu, polisi, Manesi, wafagia ofisi, madereva etc minimum ni hio laki 5 kuanzia mwezi wa 7.Minimal wages laki 5,?
Hapa Tz watu wengi mshahara haufiki hata laki 3.
hio video imeelezea kila kituTaja majina kama unavyoweza kutaja Tanzania Ben Saanane, Azory Gwanda, Soka, Ali Kibao n.k
Kwenda kenya au kutokwenda kunaondoa msingi wa hoja ya kwamba sis ni maskini? Nimeenda haya leta hoja sasa na shemeji yako ni mkenyaushawahi kwenda kenya?
kama ushawahi kwenda kenya basi huezi fananisha kenya na tz kwa umaskiniKwenda kenya au kutokwenda kunaondoa msingi wa hoja ya kwamba sis ni maskini? Nimeenda haya leta hoja sasa na shemeji yako ni mkenya
Kubali kataa. Mimi ni mtanzania ila Kenya wametuzidi.Tanzania hii hii, unaishi Tanzania ila hujui minimum wage serikalini imepanda hadi laki 5,
Viwanda vinalipa hela ndogo kote, na hao ni vibarua Kenya Minimum wage viwandani ni ksh 300 kwa siku. So usifkiri Tanzania wakilipwa 6000 ama 7000 basi Kenya wanalipwa zaidi.
Wao pia laki 3 ni wa makaratasi una makato, makato yapo tu.Kubali kataa. Mimi ni mtanzania ila Kenya wametuzidi.
Angalia hata siasa zao, sasa hivi wanafanya kampeni lakini huwezi kuona wanavaa masare kama wanafunzi ndiyo ujue wapo katika Kujenga nchi mmoja.
Huku ni masare unajua kabisa hii nchi inamilikiwa na kikundi cha watu wachache.
Kwenye miradi ya wananchi ya watanzania wote bado mtu anavaa masare
Kipindi kile Raila Odinga alijiapisha kuwa raisi lakini aliitwa ikulu na Kenyata yakaisha lakini huku kutekana, kuuana na kusingizia kesi.
Ukiwa zako Kenya, unafanya business online unapata zako pesa kupitia Paypal maisha yanaenda. Hao jamaa wana NALA
Huo mshahara wa laki 5 ni wa kwenye makaratasi na bado makato
Toilet paper zinazouzwa Tanzania nani huwa wanatumia??Wakenya wanachamba na makaratasi hata wanawake wao. Ukikutana na pisi la kikenya hata liwe na nyash ya ukubwa gani, asije akakuingiza chaka ukakubali chuma mboga, labda uvae barakoa mbili.
WakenyaToilet paper zinazouzwa Tanzania nani huwa wanatumia??
MAbongo lala ,vilaza hamna akili wala intelect ya kushirikiana na big brains za wakenya , watanzania ni maiti .Ndio maana Watanzania mnadharaulika East Afrika nzima , Taifa la wapumbavu na wapuuziNaunga mkono hoja, waafrika haswa ngozi nyeusi ni wajinga sana, badala ya kujitafakari na kuona wanawezaje kushirikiana ili kwa pamoja wawe vizuri kiuchumi, wamekalia kutukanana kama machizi kuringia vitu vya kijinga jinga tu. Imagine Kenya na Tanzania wakikaa wakashirikiana vizuri nina imani hizo nchi zingine za East africa zote zitakimbilia kwao. Ila huu ubongo wa ubinafsi wazungu wanaufahamu sana kwa ngozi nyeusi ndio maana kututawala hawakupata shida.
"Miafrika ndivyo ilivyo" Nyaningabu.
Pumbavu , unatoa wapi guts za kulinganisha Kenya Na Tanzania wewe ?,mseng£ usiye na akili ,wewe umezinguka hii nchi sehemu gani tuanze kwanza , unajua umasikini uliopo kwenye hili shithole called Tanzania we fala ?kama ushawahi kwenda kenya basi huezi fananisha kenya na tz kwa umaskini
which is the biggest slum in africa and 2nd duniani?Pumbavu , unatoa wapi guts za kulinganisha Kenya Na Tanzania wewe ?,mseng£ usiye na akili ,wewe umezinguka hii nchi sehemu gani tuanze kwanza , unajua umasikini uliopo kwenye hili shithole called Tanzania we fala ?