Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Jamii yako inayokuzungukaJamii ipi? Kila mtu anapambana na serikali yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii yako inayokuzungukaJamii ipi? Kila mtu anapambana na serikali yake
Cheki ulivyo mpuuzi.Akili yako finyu mbususu ilikuwa mfano wa pili ila bichwa lako ndo linawaza ngono ndo Maana umeona Kama mbususu Ni ya kwanza
Wakt huo Mo ndo tajiri kwa 4trillion.Jamaa ana utajiri wa Trillion 650 za madafu [emoji23]
Mkuu, mbona unapangia bajeti ela ya mtu binafsi?Kama mkuu wa nchi.
1. Ningejenga reli ya kisasa kuunganisha bandari ya Mtwara na ya Mbamba bay
2. Serikari yangu ingeanzisha mradi mkubwa wa kutandaza mabomba ya maji kutoka ziwa victory kuja kanda ya kati ilikubadilisha eneo kubwa lenye ukame kuwa eneo la kilimo
3. Mradi wa pili ungeanza kutoa maji kutoka ziwa Tanganyika kwenda mikoa ya mashariki
4. Bwawa la Nyerere lingeisha bila shaka na STGR ningeiongezea kutoka Mwanza mpaka Mutukula kupiitia Bukoba
5. Serikali ingeanzi taasisi tatu:
(a) Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu na Tiba
(b) Taasisi ya utafiti wa magonjwa mifugo, mimea na tiba
6. Ningejenga viwanda vikubwa vya madawa ya binadamu na mimea mkoani Pwani.
7. Ningeanzisha Taasisi ya utafiti wa mambo ya anga
8. Ningejenga kiwanda cha mbolea mkoani mbeya na chuo cha utafiti wa mbegu na ardhi mkoani katavi
It's a v6hiyo hela ccm wangenunulia v8 mpya. unaijua v8 ww?
Bado akili zako zipo matakoni na ushamba wa kuchelewa kuja mjini😂😂😂Nakupenda Sana mke wangu
Nadhani JF nzima tukae kimya dakika moja kukuombea akili kubwa kama wewe kuzaliwa nchi ya TanzaniaKama mkuu wa nchi.
1. Ningejenga reli ya kisasa kuunganisha bandari ya Mtwara na ya Mbamba bay
2. Serikari yangu ingeanzisha mradi mkubwa wa kutandaza mabomba ya maji kutoka ziwa victory kuja kanda ya kati ilikubadilisha eneo kubwa lenye ukame kuwa eneo la kilimo
3. Mradi wa pili ungeanza kutoa maji kutoka ziwa Tanganyika kwenda mikoa ya mashariki
4. Bwawa la Nyerere lingeisha bila shaka na STGR ningeiongezea kutoka Mwanza mpaka Mutukula kupiitia Bukoba
5. Serikali ingeanzi taasisi tatu:
(a) Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu na Tiba
(b) Taasisi ya utafiti wa magonjwa mifugo, mimea na tiba
6. Ningejenga viwanda vikubwa vya madawa ya binadamu na mimea mkoani Pwani.
7. Ningeanzisha Taasisi ya utafiti wa mambo ya anga
8. Ningejenga kiwanda cha mbolea mkoani mbeya na chuo cha utafiti wa mbegu na ardhi mkoani katavi
Elon mmoja ni sawa na akina Mo 163 😂😂😂
Kina vunjabei wangapi?Elon mmoja ni sawa na akina Mo 163 😂😂😂
Kina vunjabei kama 36000 hivi 😂😂😂Kina vunjabei wangapi?