Nini unaweza fanya na pesa zilizotumika nunulia mtandao wa Twita takriban Trilioni 102 Tsh?

Akili yako finyu mbususu ilikuwa mfano wa pili ila bichwa lako ndo linawaza ngono ndo Maana umeona Kama mbususu Ni ya kwanza
Cheki ulivyo mpuuzi.

Unatia aibu ukoo wako.
 
Kuwa angel investor katika startups za Tanzania kwani vijana wengi wanastartups na idea zao zinazokosa financial aid na kuishia mitini ijapokuwa zina faida kubwa
 
Mifumo yao inawawezesha wao kutajirika, hasa kwa wale wanaojibiidisha.
Ukizaliwa afrika tu, jua utatumia nguvu nyingi sana ili uweze kutajirika.
 
Kama mkuu wa nchi.
1. Ningejenga reli ya kisasa kuunganisha bandari ya Mtwara na ya Mbamba bay

2. Serikari yangu ingeanzisha mradi mkubwa wa kutandaza mabomba ya maji kutoka ziwa victory kuja kanda ya kati ilikubadilisha eneo kubwa lenye ukame kuwa eneo la kilimo

3. Mradi wa pili ungeanza kutoa maji kutoka ziwa Tanganyika kwenda mikoa ya mashariki

4. Bwawa la Nyerere lingeisha bila shaka na STGR ningeiongezea kutoka Mwanza mpaka Mutukula kupiitia Bukoba

5. Serikali ingeanzi taasisi tatu:
(a) Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu na Tiba
(b) Taasisi ya utafiti wa magonjwa mifugo, mimea na tiba
6. Ningejenga viwanda vikubwa vya madawa ya binadamu na mimea mkoani Pwani.

7. Ningeanzisha Taasisi ya utafiti wa mambo ya anga
8. Ningejenga kiwanda cha mbolea mkoani mbeya na chuo cha utafiti wa mbegu na ardhi mkoani katavi
Mkuu, mbona unapangia bajeti ela ya mtu binafsi?
 
Pale Kimboka Bar, Buguruni kwa mara ya mwisho bao lilikuwa Tsh 3,000/= taslimu kwa bei elekezi. Member mmoja ajitolee kupiga mahesabu idadi ya mabao ya Tsh 3000.
 
Kama mkuu wa nchi.
1. Ningejenga reli ya kisasa kuunganisha bandari ya Mtwara na ya Mbamba bay

2. Serikari yangu ingeanzisha mradi mkubwa wa kutandaza mabomba ya maji kutoka ziwa victory kuja kanda ya kati ilikubadilisha eneo kubwa lenye ukame kuwa eneo la kilimo

3. Mradi wa pili ungeanza kutoa maji kutoka ziwa Tanganyika kwenda mikoa ya mashariki

4. Bwawa la Nyerere lingeisha bila shaka na STGR ningeiongezea kutoka Mwanza mpaka Mutukula kupiitia Bukoba

5. Serikali ingeanzi taasisi tatu:
(a) Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu na Tiba
(b) Taasisi ya utafiti wa magonjwa mifugo, mimea na tiba
6. Ningejenga viwanda vikubwa vya madawa ya binadamu na mimea mkoani Pwani.

7. Ningeanzisha Taasisi ya utafiti wa mambo ya anga
8. Ningejenga kiwanda cha mbolea mkoani mbeya na chuo cha utafiti wa mbegu na ardhi mkoani katavi
Nadhani JF nzima tukae kimya dakika moja kukuombea akili kubwa kama wewe kuzaliwa nchi ya Tanzania
 
Back
Top Bottom