3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Simba ni sawa na pombe ya ngomani tu, Yanga wanajichotea tu.Makosa siyo ya leo.Makosa yametengenezwa ili kuuficha uhalisia wa timu.
Kosa la kwanza bahasha kwa waamuzi
Kosa la pili bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani
Kosa la tatu bahasha kwa wachambuzi wa mchongo
Kosa la nne kutoiheshimu Simba
Kosa la tano kutafuta sifa za kijinga unbeaten ya mchongo
Kosa la sita kufanya mazoezi ya kushangilia badala ya mazoezi ya jinsi ya kufunga
Kosa la saba,kuajiri wachawi wote Tanzania na kuwapa kadi za utopolo ili muifunge Simba.
Msiporekebisha hayo,mashindano ya kimataifa waachieni wengine kama vike Simba na Namungo
Ha ha mkuu asante kwa mchango ila punguza jazba tunahitaji kuwasaidia wenzetu kama waziri mchengerwa alivyoombaMakosa siyo ya leo.Makosa yametengenezwa ili kuuficha uhalisia wa timu.
Kosa la kwanza bahasha kwa waamuzi
Kosa la pili bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani
Kosa la tatu bahasha kwa wachambuzi wa mchongo
Kosa la nne kutoiheshimu Simba
Kosa la tano kutafuta sifa za kijinga unbeaten ya mchongo
Kosa la sita kufanya mazoezi ya kushangilia badala ya mazoezi ya jinsi ya kufunga
Kosa la saba,kuajiri wachawi wote Tanzania na kuwapa kadi za utopolo ili muifunge Simba.
Msiporekebisha hayo,mashindano ya kimataifa waachieni wengine kama vike Simba na Namungo
Mwenyewe nimeshangaa alianza kufanyaje?Kisinda sio mchezaji kabisa.Morisone Simba walikua wanamtumia dk za majeruhi anakwenda kufanya maajabu Morisone huwa akabi akianza anaipa timu mzigo.
Vipi Bangala mkuu?Yanga kama anatakiwa afanikiwe kimataifa afanye yafuatayo:
•✓Atafute namba tisa wa uhakika, aachane na Mayele, Mayele kimataifa Ni kopo kabisa, yaani hamna kitu pale
•√Morisson tupa nje
•√Kocha piga chini
•√Muache kununua mechi za ndani, maana huwa mnashindwa kujua madhaifu yenu, mfano game na Geita mlikuwa mnapoteza, lakini nguvu ya pesa ikaficha madhaifu yenu
•√Kikosi kizima fukuzeni abaki Fei Toto pekee
Mbona mkiifunga Geita huwa hamyasemi haya matatizo yenu?Kocha ame fail ku control a dressing room inaonyesha hana power
Poor selection ya timu
Wachezaji hawana fitness!!
Makosa yale yale almost mechi 7 mfululizo
Kiufupi yanga Haina kocha kwa Sasa!!
😂😂😂kuajiri wachawi wote Tanzania na kuwapa kadi za utopolo ili muifunge Simba
hakuna makosa huo ni mpira broHuu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya uwanja kipi hawakutimiza
Na ipi iwe way forward kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili
Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya uwanja kipi hawakutimiza
Na ipi iwe way forward kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili