3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya uwanja kipi hawakutimiza.
Na ipi iwe way forward kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili.
Na ipi iwe way forward kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili.