Nini yalikuwa makosa katika Mechi ya Leo kwa Yanga dhidi ya Club Africaine?

Nasikia mganga wa Mayele Yuko 6 ft under,so inabidi apewe likizo aende Kinshasa kuupdate mzigo!
 
Umemaliza kila kituuuuuuuuuuu!!!!!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Feitoto na Farid Mussa ni ma husler sana wakiwa uwanjani. Katika list walikuwa watatu ila saizi huyu watatu sijamuweka kutokana na mfululizo mbovu aliokuwa nao Djuma Shaban

Aziz Ki ni Tuisila asiyepaka bleach

Aucho kapwaya sana mechi kama ya 4 hivi namuona akiharibu, nakosa hata namna ya kumuelezea nisionekane nina chuki naye.

Morrison ndio aliyeigharimu timu jana, kuna muda bangala alikuwa anamshauri hadi kocha amtoe sub Morrison.

Mayele siwezi kumpa lawama kwasababu jana hakucheza

Diarra siwezi kusema amecheza vizuri au la kwasababu aina ya mchezo wa jana haukuwa na mashambulizi makubwa golini kwake kupima ubora wake.

Nitapima ubora wake kwenye mechi ya marudiano

Moloko sub yake ilipigiwa makofi na mashabiki lakini baada ya mechi kila mshabiki amesema Moloko hatufai.
 
Simba ni sawa na pombe ya ngomani tu, Yanga wanajichotea tu.
Haya sasa ndio malengo yenu ambayo mnaweza kuya achieve kirahisi

Aisee ikitokea kama kuna mtu anakubishia naomba unitag nikusaidie
 
Aziz Ki mbinafsi, hatulii uwanjani, piga chini, Djuma Shabani anajipigia tu, piga chini
Mechi ya jana Yanga wamepata freekick almost 10, na freekick zote kapiga Aziz Ki

Hakuna hata moja aliyongongesha hata mwamba
 
Yanga kiwango ndicho kidogo kwa hizi mechi za kimataifa, mtalaumu weee lkn huo ndio ukweli na hii inafanya mechi ya marudiano kule Tunis kuwa wa kukamilisha ratiba tu.
 
Kisinda huyu huyu mnaemuita mpima umri mara hiyo leo kawa sio mchezaji[emoji2]
Aaaaaa uto eeee[emoji2][emoji2]
mi sio Uto bana minajadili mada kama ilivyoletwa na mleta post.

mwanauto yupi anaeweza kusema ukweli kama huu nilioisema?,wao ni oyaoya tu awajui lolote.
 
Na hapa ndo mnapofeli,,, we hujui tu hizo unbeaten kuna nguvu kubwa za bahasha zinatumika,
Mbona huku hamfiki mbali
Mkuu sijawahi kuwa topolo. Nilijibu jinsi wanavojiliwaza. kama wanavojiliwaka hakuna kikombe cha kuingia makundi au kucheza robo fainali. Huku wakisahau kwamba hakuna kikombe cha kuwa unbeaten hahaha
 
mi sio Uto bana minajadili mada kama ilivyoletwa na mleta post.

mwanauto yupi anaeweza kusema ukweli kama huu nilioisema?,wao ni oyaoya tu awajui lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiih
 
Kocha hana mbinu mpya.. Ni rahisi mpinzani kumsoma na kumdhibiti kwakua habadiliki,..
Na hapa ndipo kwenye tatizo kubwa! Mfano kama ningekuwa mimi ndiyo kocha; kwenye ile mechi ya jana, na hata zile mbili na Al Hilal, ningeanza na viungo wachezeshaji wote muhimu!

Mfano Bangala, Sure Boy, Feisal, na Azizi Kii. Halafu viungo washambuliaji wa pembeni kama Morrison na Moloko, wangeanzia nje! Kimsingi timu ina wachezaji wengi wazuri! Changamoto ni namna wanavyopangwa uwanjani.

Kwa kikosi kama hiki, Yanga haiwezi kusumbuliwa na Waarab kamwe; 1. Diarra 2. Juma Shabani 3. Kibwana Shomari, 4. Dickson Job 5. Bangala 6. Aucho 7. Aziz Kii 8. Sure Boy, 9. Mayele, 10. Fei Toto, 11. Farid Mussa!!
 
Mkuu sijawahi kuwa topolo. Nilijibu jinsi wanavojiliwaza. kama wanavojiliwaka hakuna kikombe cha kuingia makundi au kucheza robo fainali. Huku wakisahau kwamba hakuna kikombe cha kuwa unbeaten hahaha
Dah sorry mkuu kwa kukufananisha na wale jamaa
 
Nabi aione hii na aijaribu kwenye mechi ya mkondo wa pili tuone matokeo yake

Ingawa kwa vurugu mlizowafanyia nje ya uwanja mkienda lazima wawafrustrate sana ili kuwatoa mchezoni
 
Kuwa mkweli unakumbuka game ya geita na simba ambapo mpole alifunga goli la kusawazisha dakika ya 85 halafu mwamuzi akalikataa kudai kuwa alimchezea madhambi kapombe?
 
kuwazoesha wachezaji bahasha kwenye mechi za simba pekee ndiyo tatizo...
 
Wee Ni shabiki wa kolo na mayele Ana kukera Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…