Nini yatakuwa matokeo kwa mtu ambae atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu?

Nini yatakuwa matokeo kwa mtu ambae atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu?

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Habari za wakati huu ndugu zangu wana jamii, naomba kuuliza ni nini kitatokea endapo mtu atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu, ukizingatia maziwa huwa tunayatumia kumpa mtu aliye kula sumu kabla ya kumpeleka hospitali kwa matibabu zaidi
 
Unataka kumwekea myu sumu kwenye maziwa eh
Screenshot_20250111_154107_Gallery.jpg
 
Hata dawa ukizidisha inakua sumu... Kwaio ukiweka sumu kwenye maziwa inachange fom yake na kua sumu
 
Tatizo ni aliekudanganya kuwa maziwa yanazuia sumu.
Sijadanganywa shida nimewaza mbona mtu huwa anapewa maziwa ikitokea amekula sumu sasa vipi kama sumu hiyo itawekwa ndani ya hayo maziwa na mtu akanywa
 
Tanzania bado misinformation ni kubwa sana.

Watu hujua maziwa ni kinga dhidi ya kila sumu wakati kuna vizuizi vya sumu huitwa "antidote" ambayo hugawanyika katika makundi ya specific & non- specific antidotes.

Sasa wewe fanya overdose ya Acetaminophen halafu unywe maziwa uone kama yatakuwa na msaada.
 
Back
Top Bottom