Mchawi budget. Premio itakua ghali zaidi kuliko IST.
Kama ni gari yako ya kwanza chukua IST tu itakua poa. Ingawa zote engine zitadumu muda mrefu sana ila body la IST litadumu zaidi.
Naomba tofauti ya hizo engine ndugu maana mi najua tu tofauti ni cc zile za 1290 cc na 1490 cc.Sina cha kuongeza kama una budget go for premio
Ila jua kuna premio F,G na X engine tofauti
IST ni nzuri pia,will never disappoint you
Spare kila kona,body imenyooka gari iko juu
Hapana ndg sio majungu ni uhalisia.! Upo sahihi Ist ni nzuri ndo maana zimekua kwa wiki mjini na vijijin.![emoji28]
Watu mnamajungu sana ila kama matumiz yako ni ya town tu na sio ya sifa ist ni the best
premio 1490, 1790, 1990Naomba tofauti ya hizo engine ndugu maana mi najua tu tofauti ni cc zile za 1290 cc na 1490 cc.
Lazima upigwe tuNaomben gharama za kufanaya service kwa ist, kuna ist nimeachiwa naofia mafundi watanipiga naomben ABC nielewe ninkias gan na oil gan nzur
Ndo mnisaidiw wakuuLazima upigwe tu
[emoji1][emoji1][emoji1]We nani akupige na IST banaaa[emoji1787]
Sio ist tu yan kwa maisha ya sasa iv chukua gar yenye cc 1290-1500 chukua jamii ya toyota ist, raum, ranx alex huto umiza kichwa juu ya sevis au mafuta. Usichukue jamii nyingine maana kuna voxywagen ina cc 1300 lakini kanakula mafuta sawa na brivenga 😁Usijihangaishe na chochote, wewe chukua IST, utakuja kunishukuru.
Kwa zama hizi IST ndio usafiri rafiki na imara zaidi kwa mzalendo wa mjini anayeanza kumiliki gari.
Hata polo?Sio ist tu yan kwa maisha ya sasa iv chukua gar yenye cc 1290-1500 chukua jamii ya toyota ist, raum, ranx alex huto umiza kichwa juu ya sevis au mafuta. Usichukue jamii nyingine maana kuna voxywagen ina cc 1300 lakini kanakula mafuta sawa na brivenga [emoji16]
We nani akupige na IST banaaa[emoji1787]
Naomben gharama za kufanaya service kwa ist, kuna ist nimeachiwa naofia mafundi watanipiga naomben ABC nielewe ninkias gan na oil gan nzur
Naomb kujua utofaut wa hiz engineSina cha kuongeza kama una budget go for premio
Ila jua kuna premio F,G na X engine tofauti
IST ni nzuri pia,will never disappoint you
Spare kila kona,body imenyooka gari iko juu
Mkuu mada sio bajeti anataka ushauri wa AINA YA GARI TUIST hashkiki. Bei (total CIF + Tax + port charges) ziko comparable.