wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Itakua mkuu,Niko huku iselemagazi.Tunapishana na ng'ombe tu huku.Kuona Gari Ni adimu boss wangu.Acha uongo mtakuwa hamjawahi kuiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua mkuu,Niko huku iselemagazi.Tunapishana na ng'ombe tu huku.Kuona Gari Ni adimu boss wangu.Acha uongo mtakuwa hamjawahi kuiona
Gari yenye muonekano mbaya ni nissan juke tu 😅Ntaijulia wapi mkuu?Lkn hio haiondoi ukweli Ile Ni gari mbaya Shapeless
Kama premio ni shapeless halaf Sienta,Fun cargo au Porte utasemaje?😁Ntaijulia wapi mkuu?Lkn hio haiondoi ukweli Ile Ni gari mbaya Shapeless
Hivyo Ni vyombo vya usafiri mkuu,sio magari hayo 😄😄Kama premio ni shapeless halaf Sienta,Fun cargo au Porte utasemaje?😁
😄 Na bahati mbaya neno JUKE kwa lugha ya waisrael maana yake Ni cockroach 😄.Gari yenye muonekano mbaya ni nissan juke tu 😅
Achana na ist.Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.
NB: Ni kwa ajili ya kutembelea siyo, biashara. Mimi si mwandishi mzuri ila naamini nitakuwa nimeeleweka.
Asanteni sana.
Hata Zumaridi naye anajiita "Mfalme"Hakuna mwanamke anaitwa King, mimi dume mkuu [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanangu una dharau wewe daah😂 subiri wenyewe waje wakushambulieHivyo Ni vyombo vya usafiri mkuu,sio magari hayo 😄😄
😄😄 Nimeshajiandaa kwa matusi mkuuMwanangu una dharau wewe daah😂 subiri wenyewe waje wakushambulie
if you prioritise fuel consumption over other dimensions buy ist if u value both fuel consumption and comfortability and space buy premio, ist is slightly better in fuel consumption, premio watu wanasema sagafari kokoteNi matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.
NB: Ni kwa ajili ya kutembelea siyo, biashara. Mimi si mwandishi mzuri ila naamini nitakuwa nimeeleweka.
Asanteni sana.
Thanks friendif you prioritise fuel consumption over other dimensions buy ist if u value both fuel consumption and comfortability and space buy premio, ist is slightly better in fuel consumption, premio watu wanasema sagafari kokote
Sijaona utofauti mkubwa sana..premio high way ilikuwa inacheza 14-16 km 1490cc(niliagiza japan)..ila mm kwa sasa nna ist ya 1290 cc..inaenda 15-17 km high way(nilimvua mtu)Kuna utofauti mkubwa kati ya Consumption ya wese kati ya premio na ist ?
Premio uliuza?Sijaona utofauti mkubwa sana..premio high way ilikuwa inacheza 14-16 km 1490cc(niliagiza japan)..ila mm kwa sasa nna ist ya 1290 cc..inaenda 15-17 km high way(nilimvua mtu)
Niliuza ndugu yangu...nilipiga nayo mweleka nikaona nuksi kutembea nayo...town trip ilikuwa inacheza 10-12 hvPremio uliuza?
Town trip consumption ilikuaje?
Kwa anaendesha vizuri kama mimi naweza pata hata 13km town tripNiliuza ndugu yangu...nilipiga nayo mweleka nikaona nuksi kutembea nayo...town trip ilikuwa inacheza 10-12 hv
hapana ist is more comfotable ina kupa surv expirience kwenye hach back.japo kura ni primio ukipinda unaifanya tax maisha yanaendaSimiliki gari lakini nayafuatilia kiasi flani. Napendezwa na premio kuliko ist.
Ist ni nyingi mno unaweza kuwasha ist ya watu ukidhani ni yako. Pia hata comfortability ndani, premio is superior.
hapana ist is more comfotable ina kupa surv expirience kwenye hach back.japo kura ni primio ukipinda unaifanya tax maisha yanaenda
test mwenyewe .....unapopanda ist na primio..unapokaa unapoendesha roughroad....ukishindwa soma wataalamu wajapan wenyewe wikipediaIst unayoisemea inakupa feeling ya SUV ni ile Urban cruiser ama?
Ist unayoisemea inakupa feeling ya SUV ni ile Urban cruiser ama?
Watu wana mambo kwamba SUV feelings [emoji38]