Ninyi viongozi wa umma mnaochapa watu viboko mnawachapa kwa mamlaka gani?

Ninyi viongozi wa umma mnaochapa watu viboko mnawachapa kwa mamlaka gani?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mbona huu utawala wa awamu ya tano umegubikwa na mambo ya ajabu sana? Mbona tunaliabisha taifa letu?

Kama mtu ana hatia kwa nini asipelekwe mahakamani?

Sheria za hii nchi zipo wazi kuwa mtu anayepata adhabu ya corporal punishment lazima Dk athibitishe kuwa hawezi kupata madhara kama akipigwa viboko,pia adhabu hii lazima itolewe na mahakama.

Je kwa kihelehele chenu na kisabengo cha kupenda sifa mkipiga mtu akafa?

Mbona huu utawala wa awamu ya tano umekuwa na mambo ya ajabu na udhalilishaji?

Hivi Ccm hii inayojinasibu kuwa chama cha wanyonge ndio imekuwa ya kudhalilisha watu na kuacha kufuata sheria na katiba ya nchi!
 
Halafu DC wa Kinondoni akakabidhiwa fimbo baada ya naibu waziri kumaliza kuwatandika wale chokoraa.

Hivi DC na Naibu waziri nani ni mkubwa kiitifaki?
 
Back
Top Bottom