Ninyi viongozi wa umma mnaochapa watu viboko mnawachapa kwa mamlaka gani?

Ninyi viongozi wa umma mnaochapa watu viboko mnawachapa kwa mamlaka gani?

Ila kwa hakika akipatikana Mwamwindi mwingine haya matukio ya viongozi wa awamu hii kuwachapa viboko watu wazima na kuwadhalilisha yatakoma mara moja.
wewe ndo umeongea sasa! mi nikiongeza yangu nina hakika napigwa ban. mana naandika nafuta, naandika nafuta
 
Ungekuwa wewe uulizwe kuchapwa viboko na kwenda jela unachagua nini? Ungesemaje,huoni kwamba kuchapwa viboko wamesaidiwa? Kwanini ukaanze kusumbua polisi na mahakama wakati unaweza ukawapa adhabu hapo hapo.
nimekosa jina la mnyama la kukuita naomba ujipe mwenyewe! lakin anza na kujielimisha kuhusu utawala wa sheria ni nini. nimekusikitikia sana
 
Halafu utasikia wanawaabia RAIA watii sheria waache kujichukulia sheria mikononi
 
Mbona huu utawala wa awamu ya tano umegubikwa na mambo ya ajabu sana? Mbona tunaliabisha taifa letu?

Kama mtu ana hatia kwa nini asipelekwe mahakamani?

Sheria za hii nchi zipo wazi kuwa mtu anayepata adhabu ya corporal punishment lazima Dk athibitishe kuwa hawezi kupata madhara kama akipigwa viboko,pia adhabu hii lazima itolewe na mahakama.

Je kwa kihelehele chenu na kisabengo cha kupenda sifa mkipiga mtu akafa?

Mbona huu utawala wa awamu ya tano umekuwa na mambo ya ajabu na udhalilishaji?

Hivi Ccm hii inayojinasibu kuwa chama cha wanyonge ndio imekuwa ya kudhalilisha watu na kuacha kufuata sheria na katiba ya nchi!
Wakiua watajitokeza na kudai kuwa muuaji kaua kwa BAHATI MBAYA

NACHOONA KINAFAA KWA SASA ni kwamba kama mbwai na iwe mbwai, iwe mwalimu, daktari, ama mtumishi yeyote yule ni KUWATIA ADABU HAWA WATAWALA WA KIPUMBAVU

Haiwezekan mtu mzima mwenzio, akudhalilishe hivo.

HAKUNA sheria au kanuni yoyote inayoruhusu hayo mambo kufanywa na hayo majinga.

Watumishi tembeeni na ALA KIUNONI ukiwa na kisu chako, akitokea mjinga mmoja na kukuambia lala chini UNAANZA KUMLAZA YEYE KWA KUKATA SHINGO YAKE, HUU NI UPUMBAVU KABISA,

Mkubwa mwenzio umtandike bakora?????

Aiseeeeeeh🤔🤔🤔
 
Wanaochapwa wapumbavu tu. Mimi kiongozi kwenye familia yangu huwezi kunichapa nikakuangalia siku hiyo navunja rekodi na kuandika historia na Tanzania nzima jina langu litatangazwa na magazeti yatachapisha picha yangu ukurasa wa mbele
 
Kama ikitokea umeiba, yaani wewe ni mwizi na umekamtwa, nguvu hiyo ya kujibu kwa nguvu zote itapoteza labda awe akikuonea bila sababu.
Vyovyote itakavyokuwa, akitaka anipeleke sehemu husika na sio kunidhalilisha kwa kunichapa bakora.
 
Mbona huu utawala wa awamu ya tano umegubikwa na mambo ya ajabu sana? Mbona tunaliabisha taifa letu?

Kama mtu ana hatia kwa nini asipelekwe mahakamani?

Sheria za hii nchi zipo wazi kuwa mtu anayepata adhabu ya corporal punishment lazima Dk athibitishe kuwa hawezi kupata madhara kama akipigwa viboko,pia adhabu hii lazima itolewe na mahakama.

Je kwa kihelehele chenu na kisabengo cha kupenda sifa mkipiga mtu akafa?

Mbona huu utawala wa awamu ya tano umekuwa na mambo ya ajabu na udhalilishaji?

Hivi Ccm hii inayojinasibu kuwa chama cha wanyonge ndio imekuwa ya kudhalilisha watu na kuacha kufuata sheria na katiba ya nchi!
Hii adhabu ilikua chachu ya maadili ktk kijiji changu tena ilifanyika mbele ya hadhira na nmekuja tambua ndo sababu kijiji changu hakina vibaka na wadokozi kama mitaa mingine ya Tanzania
 
Back
Top Bottom