kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
Wananchi wanabusara,ipo siku watachoka.
Mkuu hiyo sio busara tena,imeshakuwa ujinga na upuuzi mtupu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wanabusara,ipo siku watachoka.
Kweli kabisa.
Dah!Hawako madarakani kwa kura halali za wananchi bali kwa nguvu ya dola, hivyo lazima watawale kwa shuruti na kuwadhalilisha wananchi. Isitoshe hiyo mahakama wameshainajisi hata wao hawana imani nayo tena, maana wamejua mahakama haina meno, hivyo wanajichukulia sheria mkononi kutokana na kuwa na madaraka ya kulevya. Hayo ndio madhara ya kuwa na serikali isiyo na ridhaa ya wananchi.
Sio wana busara bali ni mazezeta. Huwa wanapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa watanzania ni watu wa amani, lakini kiukweli ni makondoo. Mwanaume mzima unalala chini unachapwa na mtu aliye madarakani kwa wizi wa kura?Wananchi wanabusara,ipo siku watachoka.
Unataka kusema Katiba ya JMT haina kazi?Watawala wa sasa wanasema kuwapeleka watu mahakamani ni kupoteza muda na rasilimali.
Acha kupost upuuziWatanzania sasa wanaswagwa kama wanyama. Viboko ndio stahili yao.
Ndio.Unataka kusema Katiba ya JMT haina kazi?
Acha utoto.Ndio.
Chini ya utawala wa awamu ya tano, Katiba ya JMT ni upuuzi mtupu.
Mzee Meko toka 2015 alipoingia madarakani alisema yeye ndio kila kitu, ni zaidi ya katiba, bunge na mahakama. Anachotaka ndio kifanyike, na asichokitaka kisifanyike.
Sasa ni mwendo wa viboko tu.
Mimi napost ukweli ambao unaniuma sana. Katika karne hii, hata mnyama hapaswi kuchapwa viboko hadharani (maana kuna watetezi wa wanyama), lakini leo hii watanzania wanachapwa viboko hadharani na watawala, na watu tumekaa kimya au kulalamika kimya kimya mitandaoni. Nini tofauti yetu sisi watanzania na wanyama?Acha kupost upuuzi
Ila kwa hakika akipatikana Mwamwindi mwingine haya matukio ya viongozi wa awamu hii kuwachapa viboko watu wazima na kuwadhalilisha yatakoma mara moja.Tatizo ni hao wanaokubali kuchapwa wamependa wenyewe
Utoto uko wapi hapo?Acha utoto.
hivi mtu akigoma inakuwaje kwamfano?Tatizo ni hao wanaokubali kuchapwa wamependa wenyewe
mwamindi ndo nanIla kwa hakika akipatikana Mwamwindi mwingine haya matukio ya viongozi wa awamu hii kuwachapa viboko watu wazima na kuwadhalilisha yatakoma mara moja.
Na kuna watu watasifu na kupongeza.
Shujaa mwakilishi wa wanyonge. Mpinga uonevu wa viongozi wenye majigambo na tabia ya kudhalilisha watu. Huyu alimtandika risasi na kumuua Dr Kleruu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa miaka hiyo ya 1970s baada ya kudhalilishwa na RC huyo mbele ya wake zake tena siku ya sikukuu ya Krismasi.mwamindi ndo nan